Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Lakini last time mama mwenyewe alimuita JK boss wake. Hivyo boss hanuniwiKila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Muhuni na malaya huwaga hawana aibu hasa wakishakolea kunako!Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Cc Smart911Mambo Yao waachie wenyewe
Ukweli mchunguKila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Mkuu nilimaanisha umalizie hivo, simpendi kabisa mzee jk kwa shobo zake
Huyu ni Muhuni mshamba, mhuni wa kweli huwa hawezi kuwatosa marafiki zake.KUmbukeni jk ni mhuni toka zamani na tena bado hajazeeka!!.
Usikute ukimpekua mfukoni utakuta kikaratasi cha ratiba za ziara. KwikwiKila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
DNA Test/Kipimo cha vinasaba pekee ndio kinaweza kuthibitisha kwa usahihi zaidi. Njia unayoiwaza automatic itaulaghai au kudanganya fikra za ubongo wako zifikirie kile unachotaka kitokee. Kwa hiyo sio sawa mkuu. By the way hao vijana wapo poa tusiwabebeshe makosa au dhambi za wazazi wao.Chukua picha za Abdalah na rizimoja halafu uzitazme Kwa Pamoja ukiwa umezikaribisha utagundua Sir100 ni nani Kwa kiwete
Sasa naye kwa nini anashindwa kupumua? Kwa nini asiache kumwalika? Na yeye no incompetent ndiyo maana yamamkuta hayo!Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Unakereka wewe kama nani? Uhuru umepitilizaKila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!