Sawa prince AbdulaDNA Test/Kipimo cha vinasaba pekee ndio kinaweza kuthibitisha kwa usahihi zaidi. Njia unayoiwaza automatic itaulaghai au kudanganya fikra za ubongo wako zifikirie kile unachotaka kitokee. Kwa hiyo sio sawa mkuu. By the way hao vijana wapo poa tusiwabebeshe makosa au dhambi za wazazi wao.
🤣 🤣 🤣 🔊Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
🤣 🤣 🤣 🔊Sasa Samia atafanyaje faragha wakati Kikwete amemng'ang'ania kama mkia?
🤣 🤣 🤣 🔊Si ndiyo faza of ze nation au
😄
Ova
🤣 🤣 🤣 🔊Kuna kijana mmoja aliwahi kumpiga baba wa kambo eti hampi muda mama yao hata muda wa kuongea na watoto haupo alikula makonde....
🤣🤣🤣🤣Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Una akili sanaUkute SSH ndo anabembeeza wawe pamoja
Uko Sahihi kabisaAnaendelea kutuharibia nchi yetu, anadhani hii nchi ni yake, mkewe, wanawe na ukoo wake. Akae Msoga huyo mzee ameshastaafu, si tulishamuaga?......Mbona anarudi rudi kinyume kinyume?
Yupo kwenye misheni.. tumiaga akiliKila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Kama wewe hukereki, basi funga domo lako. Mjinga wewe. WAACHE WATU WASEME UKWELI. KIKWETE NI NANI YUPO ANAZUNGUKA ZUNGUKA KUENDELEA KUHARIBU NCHI YETU. Ameshastaafu arudi kwake Msoga, kila mara yupo ikulu, anataka nini?Unaongea
Unakereka wewe kama nani? Uhuru umepitiliza
Hapa tayari chui amevua ngozi ya kondoo. Na huyu ndiye Kikwete halisi ambaye mlikuwa hamumfahamu na alikuwa akiwadanganya kwa tabasamu fake huku mkimsifia ni handsome. Cha moto mtakiona!Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Kama 99% ya Watu waliosoma nae Shule ya Msingi, Upili na Elimu ya Juu wanasema Darasani alikuwa Mtupu (Hana Akili) unategemea nini? Anachokijua vyema na kukipatia ni kupenda Kuroga (kuamini Ushirikina) na Kubandua kila Sketi inayompitia mbele yake na ndiyo maana ni Member wa kudumu wa mfumo wa WHO wa Umeme wa Gridi ya Taifa.Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!
Huyu mzee hovyo sana.Kikwete amejigeuza NAIBU RAIS.
Wananchi huko mitandaoni wanampopoa kwelikweli kwa kujiweka mbelembele kwenye ziara za Rais.
Yaani anajifanya kumbikumbi wa Rais.
Anataka kujifanya Ambari wa Samia. Ukimuona Zinduna basi Ambari yuko nyuma!.