Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

Kuna kijana mmoja aliwahi kumpiga baba wa kambo eti hampi muda mama yao hata muda wa kuongea na watoto haupo alikula makonde....
Kama ni mtamu unamwachiaje ni kutoa.. kila wakati hadi ikae upande
 
Muacheni msela wangu Kikwete
Mzee kijana huyo acha acheze draft akimaliza kete atatulia
 
Why asiwepo,pwani ni kwao,vipi tukio lifanyike asiwepo?Na akiwepo atahutubia tu.Chuki yako kwako itakutia kihoro bure.
 
Hii line inatakiwa wapangwe hawa akina bibi Mipasho na Vasco da Gama na network yao yote ndipo nchi itasafishika.
 
Samia ndiyo anayemuitaji kikwete,bosi wake
 
Lazima akae karibu na remote yake ili isishikwe na mtu mwingine akabalisha channel na pia ili betri zikiisha nguvu abadilishe, ni kipindi cha program muhimu hivyo lazima remote ikae mikononi watoto wasiichezee na kubalisha channel.
Bibi anaendeshwa probably anakumbushwa kuwa akikaidi yatamkuta yaliyomkuta Jiwe. It's a win win situation for both of them, kikubwa kila mmoja wao ale kwa urefu wa kamba yake ila ujue hizo kwamba zao hazina ukomo.
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Cc: Mahondaw
 
Hata yeye alikwisha kiri kuwa katika Baraza lake la mawaziri yeye ndiye aliyekuwa mjinga kuliko wote 😂😂😂
 
Why asiwepo,pwani ni kwao,vipi tukio lifanyike asiwepo?Na akiwepo atahutubia tu.Chuki yako kwako itakutia kihoro bure.
Kikwete siyo betri ya Samia kiasi kwamba asipokuwepo hakuna kitakachofanyika!
 
Samia ndiyo anayemuitaji kikwete,bosi wake
Ndiyo sababu tunamtaka Samia aachie ngazi
Your browser is not able to display this video.
 
Kikwete siyo betri ya Samia kiasi kwamba asipokuwepo hakuna kitakachofanyika!
kuwepo kwako ni utambulisho wa uongozi wa nchi,ni watu wasiojua kitu ndio wanaosema kikwete vile kikwete hivi,na mimi sishangai kama kuna watu wanampinga hata Mungu seuze kikwete?
 
Lakini last time mama mwenyewe alimuita JK boss wake. Hivyo boss hanuniwi
Hii ni kama Mama alikua anatuma message kwa wananchi sijui kama wengi walimuelewa all in all JK Anaonekana ni mtu ukiwa jambo lako lazima liende
 
kuwepo kwako ni utambulisho wa uongozi wa nchi,ni watu wasiojua kitu ndio wanaosema kikwete vile kikwete hivi,na mimi sishangai kama kuna watu wanampinga hata Mungu seuze kikwete?
 
Kipindi cha maguu alikuwa mbalii na yule mzee,, kipindi cha mama jk kawa mzuri haaaa haki ya nani ni swala la muda ,, ata yule aliesema wazuri hawafii kijana ake yupo wapi??
 


Tsar wa mwisho wa Russia alikuwa anaitwa Nicholas 2.
Kwa bahati mbaya, familia yake ilikuwa na mtoto mgonjwa.

Katika kuhangaika, wakapata mganga mmoja na mpiga ramli aliitwa Grigori Yefimovich Rasputin.

Huyu aliiyumbisha sana familia ya mfalme na alikuwa na mchango mkubwa kwa yale yaliyowakuta wakati Bolshevic walipopindua nchi.

Maana familia nzima waliuwawa. (I hate hawa wakomunists).

Kuna mtu anafanana kabisa na Grigori Yefimovich Rasputin. Au ameamua kufuata mfano wake😂😂🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…