Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake


nafikiri labda unamchanganya na rostamu …
 
Hata Nyerere alimjibu hivyo hivyo mwandishi wa BBC, alipomuuliza swali asilolipenda. Hakuna aliyemuonya.
 
Nchi hii inahitaji ianze upya. Siasa za kizamani zimepitwa na wakati. JPM alilianzisha, na ndio mwanzo wa mapinduzi ya siasa za Tanzania. Kudhani kuwa tutafanya vitu vile vile vya zamani, ili tupate matokeo tofauti, hiyo sahau.

Kikwete anahitaji kuhodhi nchi hii, lakini ni yeye ni Rais mwenye point ndogo sana kwa marais wote wa TZ. Kikwetelism kamwe haiwezi kushamiri na wala hatuwezi kutoboa naye. Kauli thabiti ni ile iliyosemwa " kuna watu wanawashwa washwa. Watakunwa pale panapostahiki.

Kama ujio wa Makonda ndio unaomsumbua, jibu langu ni hili: Mama kanyaga na ongeza mwendo.. Mlete na Pole Pole aka "wahuni watoke pangoni" tumalize list. Mama uko sahihi , endelea.
 
Mkuu wewe mgeni wa siasa za nchi hii?
Uko naive!
 
Mkuu wewe mgeni wa siasa za nchi hii?
Uko naive!


I may be naive but ninyi mmezidi kuzifanya hizi Siasa way too personal. Kibaya zaidi mnaweka na emotions zenu humo humo.

Mko kukisiakisia tu na kulazimisha adui yenu awe adui wa wote.

Mpeni Rais Samia nafasi afanye kazi na watu anaoona wanamfaa kwani tatizo nini? Anavunja sheria gani?

Hamna tofauti na watoto wa kambo kutwa kuchonganisha watu.
 
[emoji848][emoji120]
 
Hili ni jukwaa la wasiokuwa na jukwaa !
Acha watiririke 😅🙏🙏
 
Huwezi kujifanya deep state kwa madhambi haya mawili wakati wa uongozi wako.

1) Kufuta uchaguzi halali wa Zanzibar, na kudhani eti poa tu. Kavunja katiba.
2) Katumia pesa nyingi za nchi kuanza mchakato wa katiba, baadae anatupilia mbali mchakato mzima. Yaani unatuletea uswahili swahili tu. Eti fuata ushauri!
 
Na dhambi ya kudhalilisha wazee !!
 
Huyo Mzee alaaniwe tu, ni mtu mlafi, ndiye anayetuumiza watanzania pamoja na kinana Hawa ni watu wahovyo sana, lakini naona mama kakataa ushauri wa kishetani kutoka kwa Hawa wazee ndio mana anabwabwaja
Hii hatari sana .
 
Mkuu hizo ndo siasa za Bongo.
Mbwa kumrarua mbwa.
Usiingie siasa kutegemea utasifiwa tu, kuna wakati hata wanaokupenda watakurarua, tena kwa nia njema.

Muhimu mwanasiasa kufanya siasa kwa misingi ya maendeleo ya watu, utu na kuheshimu wale anaowaongoza kwa siasa za ukweli.
Mama alianza vizuri sana, lakini suala la DP Weldi has left a bitter taste.
 


Hii statement yako na hiko kiumbe kinazunguka hapo kwenye avatar yako ni mapacha.

Unayoyazungumzia hapa wala sio msingi wa majibizano yetu yaliyotangulia.

Ama ndio unakwepa mishale?
 
Hii statement yako na hiko kiumbe kinazunguka hapo kwenye avatar yako ni mapacha.

Unayoyazungumzia hapa wala sio msingi wa majibizano yetu yaliyotangulia.

Ama ndio unakwepa mishale?
Nope!
Umeamua kwa makusudi kumzungumzia mama, nimekuambia exactly what is felt by many.
Is it so difficult kuelewa?
 
Nope!
Umeamua kwa makusudi kumzungumzia mama, nimekuambia exactly what is felt by many.
Is it so difficult kuelewa?


Umezungumzia uteuzi wa Makonda na kuhusu teamwork kwenye CC.

Umezungumzia kucheka kwa Mzee Kikwete huku akificha kisasi cha hatari moyoni na kupuuzwa ushauri wake.

Na haya yote yametokana na hotuba ya Mzee Kikwete kuhusu Ushauri.


Sasa DP World imetoka wapi?

Hao ‘many’ wametoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…