Sijui inakuwaje kama ushauri wa nje ataopewa utatofautiana na wa JK, naona hapo lazima atachukua wa JK, hata kama atadanganywa.Mnafiki mkubwa Yeye ( Kikwete ) anasema nini wakati Yeye ndiyo Mshauri Mkuu mbovu wa Rais Samia?
Labda kwa uteuzi wa Makonda!.Maza ameanza Kuota mapembe?
Kuna mtu aliwahi kuambiwa asiwashwe washwe!
Katikati ya mistari kuna kitu amekiona lakini hawezi kufunguka zaidi asije kusutwa na Ally Hapi ambaye anapiga jaramba sasa hivi.Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
MakondaRais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
Ally Hapi yuko tayari hata kuvua nguo ikiwa atahakikishiwa kurudi Ulingoni mwa Walamba asali.Katikati ya mistari kuna kitu amekiona lakini hawezi kufunguka zaidi asije kusutwa na Ally Hapi ambaye anapiga jaramba sasa hivi.
Namba moko kaanza kumpuuza.Mnafiki mkubwa Yeye ( Kikwete ) anasema nini wakati Yeye ndiyo Mshauri Mkuu mbovu wa Rais Samia?
Kuna uadui wakufa na kupona kati ya Riz1 na Bashite....kutoka za chinichini kuna tetetsi JK alipuzwa ushauri wake ili Bashite taa yake isiwake tena....Mzee ameamua leo liwalo na liliweRais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
InavyoonekanaMaza ameanza Kuota mapembe?
Dongo?Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
It seems!Maza ameanza Kuota mapembe?
Kama ushauri upi mkuu...Mama anatakiwa awe makini na mzee wa born town maana ushauri wake amefanya Mambo mengi hayaendi huku vijana wao wakifanya watakayo ukute vijana wamemwambia sema mzee