Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejiuliza hilo swali kama wewe.Maza ameanza Kuota mapembe?
I reserve my comment on this comment of yours.🤐Ni kama ameanza kuachana na ujana sasa! Ameanza kuongea mambo ya kiutu uzima
Hongera JK
Amefilisika akili. Apumzike huyu mzee sasaRais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
Basi inawezekana Bashite sikio la kufa!Kuna uadui wakufa na kupona kati ya Riz1 na Bashite....kutoka za chinichini kuna tetetsi JK alipuzwa ushauri wake ili Bashite taa yake isiwake tena....Mzee ameamua leo liwalo na liliwe
Amekerwa sana na uwepo wa Makonda kwenye CC. Concern yake ni too personal.Nimejiuliza hilo swali kama wewe.
On the other note, huyu dingirai msanii sana.
Labda kuna jitihada za kutaka asihusishwe na kuwa yeye ni “remote ya Msoga” kama wanavyoamini wengi.
Hilo plus Makonda kupewa lile rungu, kuna namna namna[emoji2]
Either ni hivyo, au ni kweli kaota hayo mapembe.
Ukizingatia Makonda alidai mwanae ni muuza madawa ya kulevya.
Inafikirisha. Lakini hata hivyo nimechoka kufikiri kuhusu siasa za Tanzania.
Mara chache sana nachangia kwenye hili jukwaa nowadays.
Na washauri wenyewe wanakuwa ni "CHAWA" wanaonyonya uchafu ule ule toka kwa huyo wanayemshauri. Ndio utawala huu tunao ushuhudia sasa hivi.Ushauri ni muhimu lakini wakati mwingine hata hai washauri nao hawajui, checks and balances ndio muhimu zaidi.
Kuna mahali kapuuzwa.Mnafiki mkubwa Yeye ( Kikwete ) anasema nini wakati Yeye ndiyo Mshauri Mkuu mbovu wa Rais Samia?
Hivi kweli Bashite waliomweka Uenezi wamefikiria nje ya box,ni mtu mwenye majivuno na hana nidhamu kabisa pia fedha anazotoa takukuru chunguzeni amepewa na chama au ameanza vitisho vyake kwa wafanyabiashara kuwalazimisha wamchangie.mfano eti amempatia gari mwalimu aliyedhulumiwa gari.Nimemwona, ukweli nilifarijika sana. Kuna Dude moja huko chamani lilisema Wazee w a kishastaafu wasiongee eti wakalee familia!
Ukiyachukua yote haya (matamshi), pamoja na teuzi, tena nyingi zisizokuwa na mwelekeo wowote zilizo kwisha fanywa na huyu kiongozi; ukiyaweka yote kwa pamoja na kuyasoma vizuri na kuyaelewa; utaona dalili njema kwa nchi yetu.Nimejiuliza hilo swali kama wewe.
On the other note, huyu dingirai msanii sana.
Labda kuna jitihada za kutaka asihusishwe na kuwa yeye ni “remote ya Msoga” kama wanavyoamini wengi.
Hilo plus Makonda kupewa lile rungu, kuna namna namna😃
Either ni hivyo, au ni kweli kaota hayo mapembe.
Ukizingatia Makonda alidai mwanae ni muuza madawa ya kulevya.
Inafikirisha. Lakini hata hivyo nimechoka kufikiri kuhusu siasa za Tanzania.
Mara chache sana nachangia kwenye hili jukwaa nowadays.
Mkuu hii inchi Ina hitaji akina makonda wengi Sana kusudi mambo ya songe 😂😂Hivi kweli Bashite waliomweka Uenezi wamefikiria nje ya box,ni mtu mwenye majivuno na hana nidhamu kabisa pia fedha anazotoa takukuru chunguzeni amepewa na chama au ameanza vitisho vyake kwa wafanyabiashara kuwalazimisha wamchangie.mfano eti amempatia gari mwalimu aliyedhulumiwa gari.
Katukana mtu huyu. Lakini kwanini katukana?Hata kama Rais hajui kila kitu, lazima awe na uwezo wa kuchanganua mambo ili asidanganywe, tatizo linakuja kama hata huo uwezo wa kuchanganua mambo haupo, hapo inakuwa bora hata huo ushauri wenyewe asipewe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Una uhakika na haya uyasemayo?Mnafiki mkubwa Yeye ( Kikwete ) anasema nini wakati Yeye ndiyo Mshauri Mkuu mbovu wa Rais Samia?
😆😆😆😆😆😆Lete maneno
That was a general admonition to leaders. Why not now?Tuheshimu mawazo ya wastaafu lakini JK why now?