Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

Nimejiuliza hilo swali kama wewe.

On the other note, huyu dingirai msanii sana.

Labda kuna jitihada za kutaka asihusishwe na kuwa yeye ni “remote ya Msoga” kama wanavyoamini wengi.

Hilo plus Makonda kupewa lile rungu, kuna namna namna😃

Either ni hivyo, au ni kweli kaota hayo mapembe.

Ukizingatia Makonda alidai mwanae ni muuza madawa ya kulevya.

Inafikirisha. Lakini hata hivyo nimechoka kufikiri kuhusu siasa za Tanzania.

Mara chache sana nachangia kwenye hili jukwaa nowadays.
Siasa za Tanzania ni UJINGA mtupu sometimes ni sahihi kutulia tu
 
Hivi kweli Bashite waliomweka Uenezi wamefikiria nje ya box,ni mtu mwenye majivuno na hana nidhamu kabisa pia fedha anazotoa takukuru chunguzeni amepewa na chama au ameanza vitisho vyake kwa wafanyabiashara kuwalazimisha wamchangie.mfano eti amempatia gari mwalimu aliyedhulumiwa gari.
Kama ni kweli, kuwekwa pale ni kwasababu ya hofu ya kushindwa uteuzi ndani ya chama hence kupoteza uchaguzi
 
Naweza kumwelewa JK, CC is supposed to be teamwork.
Makonda is uncontrollable, a stray missile.
Na kwamba alitumika na JPM basi also ni missile isiyo aminika.
Hatujasahau Makonda aliwahi kusema Riz anahusika na madawa ya kulevya!!
Tatizo JK ni mtu anakuambia kitu huku anacheka, lakini deep down tayari anafikiria next step.
Unataka kumaanisha nn??
 
Tuheshimu mawazo ya wastaafu lakini JK why now?
Eti ngano imepanda Bei Kwa Sababu ya Vita ya Ukraine Halafu akaishia hapo?

Hivi Nani aliua mashamba ya ngano kule Manyara ?
Hivi Tanzania inashindwa kuwatumia wataalamu Wa kilimo Wa ndani wakishirikiana na Majeshi yetu kama JKT na Magereza wakawekeza kwenye kilimo cha ngano na kuachana na mashoga Wa Ukrein na mabwana Zao?
Tanzania ni Kati ya nchi zenye idadi kubwa ya watu Duniani . Watu mil.61 kuishi Kwa kutegemea biashara za kuuza midoli vikorokoro Toka china Huku Chakula kikiwa kinategemewa Toka brazili,Ukraine na Misri ni huzuni kubwa sana .

Paulo Makonda yupo Sahihi.
JK atulie nyumbani kwake. Analifanya taifa hili liendelee kuwa Taifa Tegemezi.
Badala ya wataalamu kufanya Kazi wanashinda kwenye Maukumbi wakiwa Laptop na remote mkononi. Wanagawana pesa za walipa Kodi na mikopo .
Tunataka wasomi vijana wapewe Nafasi na mitaji . Vyama Vya ushirika viundwe upya na visimamiwe na vijana Wa WAKATI Huu. Hawa wazee ndio walioua mashamba yote ya serikali na Vyama Vya ushirika wakajigawia Kwa uroho na ubinafsi Halafu wakawakabidhi wahindi na Waarabu .
JK anatetea biashara zake . Hatumsikii akizungumzia masuala ya kilimo cha ndani, treni ya mwendo Kasi, umeme. Madini , ufugaji, Uvuvi kwenye Bahari kubwa na maziwa Mengi na mito ya kutosha.
Hatumsikii akizungumzia ni vipi bado tunategemea uchumi Wa Tozo na mikopo WAKATI yeye pamoja na Profesor Muhongo WAKATI wanafanya udalali Wa kuuza gesi yetu walituaminisha kuwa uchumi Wa nchi utapanda sana na patakua ña mfuko maalumu Wa kuweka Akiba Kwa ajili ya vizazi vijavyo .
 
Back
Top Bottom