Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebidi tu na mimi nicheke huku nilipo 😂😂😂 lakini sijui Nimecheka kwa sababu gani 😅😅🙏🙏Hahahahahahahahahahahahahahahahah.......
Ohooo !!Kumbe ni kweli?
Naweza kumwelewa JK, CC is supposed to be teamwork.Amekerwa sana na uwepo wa Makonda kwenye CC. Concern yake ni too personal.
Kanyaga twende Amiri Jeshi Mkuu 🙏🙏Bado hawajasema,watasema tu. Mama kanyaga twende. Naona mgambo wameanza kuruka na kukanyagana.
Ngoja Tusubiri tuone !!Naweza kumwelewa JK, CC is supposed to be teamwork.
Makonda is uncontrollable, a stray missile.
Na kwamba alitumika na JPM basi also ni missile isiyo aminika.
Hatujasahau Makonda aliwahi kusema Riz anahudika na madawa ya kulevya!!
Tatizo JK ni mtu anakuambia kitu huku anacheka, lakini deep down tayari anafikiria next step.
Umenena. Kulundika kila kitu kwa mtu mmoja kama ilivyo sasa ni hatari mno na ndiyo maana kila siku kuna tatizo. BTW Kikwete kama aliyajua haya mbona hakufanya? Au alifanya yale aliyoona yeye yana faida kwake tu? Kwa mfano katiba mpya ni yeye aliikwamisha.Ndio maana kuna umuhimu sana wa utawala wa kimajimbo, kutawanya risks na kupunguza ukali wa maumivu ya makosa ya watawala yanapofanyika.
Who is he in this country? The dude is overrated.Naweza kumwelewa JK, CC is supposed to be teamwork.
Makonda is uncontrollable, a stray missile.
Na kwamba alitumika na JPM basi also ni missile isiyo aminika.
Hatujasahau Makonda aliwahi kusema Riz anahudika na madawa ya kulevya!!
Tatizo JK ni mtu anakuambia kitu huku anacheka, lakini deep down tayari anafikiria next step.
Hahahah anamsema Samia kuhusu kumweka Makonda ukatibu propaganda na uenezi.Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
Kwani yeye na Membe hawakumtumia kumtukana Lowasa wakati wa kampeni za kusaka ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2015!!!Naweza kumwelewa JK, CC is supposed to be teamwork.
Makonda is uncontrollable, a stray missile.
Na kwamba alitumika na JPM basi also ni missile isiyo aminika.
Hatujasahau Makonda aliwahi kusema Riz anahudika na madawa ya kulevya!!
Tatizo JK ni mtu anakuambia kitu huku anacheka, lakini deep down tayari anafikiria next step.
Urais wa Tanzania siyo rahisi kuanguka.. labda awe mzembe kweli kweli au asitake.Naliona anguko la mamake abduli
Na ushauri mzuri unaweza hata ukaupata kutoka kwenye viti virefu ukiwa na watu smart on the ground wenye uwezo wa kutambua watu wenye IQ kubwa !!Ushauri ni muhimu lakini wakati mwingine hata hai washauri nao hawajui, checks and balances ndio muhimu zaidi.
Vijana wake washaanza kukandwa lazima apige yoweRais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi inaweza kwenda pasipotakiwa kwenda.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais.
“Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema
Kikwete aliyekuwa Rais wa nne wa Tanzania (2005-2015), amesema hayo kwenye mkutano wa nne wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi ulioandaliwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao yeye alikuwa mgeni rasmi.
Amesema unapokuwa Rais hujui kila kitu lakini unatakiwa kushughulika na kila jambo na kwa sababu huwezi kujua kila kitu inakubidi kutegemea ushauri.
“Sasa wenzako wanakuchagua kuwa unafaa kuwa rais, lakini utakuwa hujui kila kitu, taaluma yako ni uchumi…lakini ukiwa Serikali na Rais hujui kila kitu. Kwa sababu huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri,” amesema
Wacha waisome namba eee! CCM mbele kwa mbele. Hatunywi sumu, hatujinyongi........Lete maneno
Aaaaaah sina maana hiyooo bhanaaaWacha waisome namba eee! CCM mbele kwa mbele. Hatunywi sumu, hatujinyongi........
Mkuu jitahidi tu uchangie sote tumechoka toka miaka ile hadi unatafuta ukweli juu ya ile saga ya Balali.Nimejiuliza hilo swali kama wewe.
On the other note, huyu dingirai msanii sana.
Labda kuna jitihada za kutaka asihusishwe na kuwa yeye ni “remote ya Msoga” kama wanavyoamini wengi.
Hilo plus Makonda kupewa lile rungu, kuna namna namna😃
Either ni hivyo, au ni kweli kaota hayo mapembe.
Ukizingatia Makonda alidai mwanae ni muuza madawa ya kulevya.
Inafikirisha. Lakini hata hivyo nimechoka kufikiri kuhusu siasa za Tanzania.
Mara chache sana nachangia kwenye hili jukwaa nowadays.