Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

Sawa kwani ametaja specific Ushauri upi wa maana umepuuzwa?

Kama ana zake aseme ila kama ni Ushauri basi Mama anasikiliza sana na haendeshi Nchi Kwa mkono wa Chuma.

Mwisho hivi ule ujumbe wa Makonda haukumfikia JK?
 
Mzee kamaindi hyo kauli 😁
 
Watu wa hivi hua sio wakuamini kabisa.

Ninanochokiamini uyu mzee hua yupo kimbele mbele kwenye hii nchi sababu ya faida zake, ni tycoon & mafia na hajawahi kua mjinga, so hii kama sio tricky tunachezewa basi ujue mpaka kaongea hivi basi kuna sehemu kaona watu wanamendea ugali wake not otherwise.
 
Huku anaongea kijana Mzalendo Makonda, Polepole, Heche, Lisu Halafu kule anatokea MTU aliyegawa Vitalu vyote Vya gesi Kwa Wageni Tena Kwa kupitia mtutu Wa Bunduki.
Leo hakuna faida yoyote kwenye gesi.

Huyu MTU anatumia nguvu ya pesa aliyojilimbikizia kuhujumu nchi Kwa muda Mrefu.
Anakera WATANZANIA wengi waliojengewa uzalendo na JPM.
 
Umeshawahi kaa na kikwete hata nusu saa ukamsikiliza
Tatizo mnajaji mtu kutokana na mambo ya kisiasa
Mtu ambaye anamfikia mtu yoyote mashuhuri duniani na watu wenye nguvu unamuona kama wewe vile
 
Kikwete ndiye owner wa Tanzania
Hawezi kukaa kimya nchi ikiyumba
 
Umeshawahi kaa na kikwete hata nusu saa ukamsikiliza
Tatizo mnajaji mtu kutokana na mambo ya kisiasa
Mtu ambaye anamfikia mtu yoyote mashuhuri duniani na watu wenye nguvu unamuona kama wewe vile
Kwani kumsikiliza Kikwete anavyoongea ni lazima ukae naye hata nusu saa?

Kikwete alikuwa anakuja hapo New York kwa balozi tunaalikwa, mimi nilikuwa naitwa na balozi mwenyewe personally, lakini nilikuwa sina muda mchafu wa kukaa naye.

Kwani mtu kuweza kumfikia mtu yeyote mashuhuri maana yake ndiyo hawezi kutomalizia sentensi zake?

Mbona unakuwa mshamba unayepapatikia watu hivyo wewe?
 
Ukisikia system, wenye chama au wenye nchi ni watu kama ‘Rajabu Lhuwavi’.

Kipindi cha JK alikuwa mshauri wake wa siasa, sasa hivi mshauri wa ‘bi tozo’ wa siasa, kwa akili ya kawaida nani kamrudisha Ikulu kama sio JK.

Nina uhakika alichosema JK kimechukuliwa out of context; vinginevyo JK akitaka ku influence siasa za Samia anawatu wake ndio wanaomshauri raisi serikalini na kwenye chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…