Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Chapakazi
Umesema vizuri ila hilo neno kwenye red limetumika ndivyo sivyo hata kama ukiliondoa sentesi italeta maana ile ile.
Poa mkuu...lakini kwangu mimi hawa ni mafala! Tangu lini simba akafanya sherehe akamkaribisha fisi? Hujui kuwa hawa ni maadui? Sasa nashangaa hawa wanajipeleka kwenye zizi la wanyang'anyi...sijui walitaka na wao wapewe sifa?...nimechoka na ujinga mie!!