Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Chapakazi

Umesema vizuri ila hilo neno kwenye red limetumika ndivyo sivyo hata kama ukiliondoa sentesi italeta maana ile ile.

Poa mkuu...lakini kwangu mimi hawa ni mafala! Tangu lini simba akafanya sherehe akamkaribisha fisi? Hujui kuwa hawa ni maadui? Sasa nashangaa hawa wanajipeleka kwenye zizi la wanyang'anyi...sijui walitaka na wao wapewe sifa?...nimechoka na ujinga mie!!
 
''cheyo tunakuvua uwaziri kivuli, umekiuka makubaliano yetu wapinzania''

jana kwenye kikao cha ccm wenyeviti wa upinzani walihudhuria.

cheyo alionewa au?

walahi nawaambia kwa unafiki huu ccm itapeta miaka mingi ijayo, si ajabu hata hapa jf kuna watu wanaponda ccm lakini siku ya uchaguzi wanakipa kura..... unafiki wa hali ya juu sana

Naanza kukumbuka maneno ya baba yangu mzazi
 
Wakuu vipi? Kimya au bado wanakula bata?

Download hii player..angalia mwenyewe live.Ila kama hypocrisy na mis organization huwa vinakusasabishia nausea..basi usiangalie maana unaweza kutapika.

Maskini Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa~~~~~!!!!!!
 
hahahaha hiki ndiyo kichaa cha siasa, watu wamesahau hali ngumu zote za maisha wanaserebuka kama wapo paradiso hivi.. lol
 
Naona katika wajumbe wao 1909 waliohudhuria mkutano wao mkuu, kuna wajumbe 16 wamethubutu kuckiliza dhamiri za nafsi zao na kupiga kura za HAPANA!!
 
Mkuru anahutubia sasa hivi, eti hari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya tazani kuna la maana alilofanya kwenye miaka yake 5
 
Duu sio mchezo nafatilia hichi kikao kinaonekana hii nchi yetu inaendeshwa kwa kujuana tu,sio mchezo!!
 
Hao wote waliokuwa kwenye hicho kikao utashangaa kila mtu leo anaondoka na laki mbili,Akiamuangu unakula kwa macho tu!!

Ndio maana wanafurahi kweli kweli alafu siajabu hawajui nchi inadidimia vipi!
 
Naona katika wajumbe wao 1909 waliohudhuria mkutano wao mkuu, kuna wajumbe 16 wamethubutu kuckiliza dhamiri za nafsi zao na kupiga kura za HAPANA!!
Yap,

Lakini nina wasiwasi na matokeo, hata kama angepata kura za HAPANA 500 unadhani ungeambiwa?
 
Hao wote waliokuwa kwenye hicho kikao utashangaa kila mtu leo anaondoka na laki mbili,Akiamuangu unakula kwa macho tu!!

Ndio maana wanafurahi kweli kweli alafu siajabu hawajui nchi inadidimia vipi!
It's more than only 200k!

Usiombe ujue, kumbe basi utakasirika zaidi ha ha ha
 
Dr. Ali Mohamed Shein anasema 'mwaka huu ushindi wa CCM Zanzibar ni lazima'. Huyu naye ni mbabe tu hata haonyeshi sura za demokrasia.
 
Download hii player..angalia mwenyewe live.Ila kama hypocrisy na mis organization huwa vinakusasabishia nausea..basi usiangalie maana unaweza kutapika.

Maskini Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa~~~~~!!!!!!

Na mimi pia nacheck live kutoka hapa lakini sio free hii inabidi kulipia
 
nchi inaliwa na wenye meno .:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
It's more than only 200k!

Usiombe ujue, kumbe basi utakasirika zaidi ha ha ha

Duu sio mchezo ndio maana wanaonekana furaha nyingi sana,wakitoka hapo kila mtu na chake,Sio mchezo ila ndio nchi hiyo!
 
Yaani tunarudi enzi zile za sodoma na gomola, Yaani wanapeana madaraka na sisi wenyewe tunaona!!!
 
Back
Top Bottom