Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

Kwani watumiaji wa hela kwa njia ya.mtandao wanasemaje wao
 
Nikweli kabisa mkuu, upo zako Kakonko huko unamtumia Bi mkubwa aliye Namanyele buku ten.....maisha yanasonga mbele.....au umekwama sehemu unahitaji msaada mshikaji anakuboost unasaidika....maisha yanaenda
Hapo namanyele umenigusa ndo hom kabisaa. Mitaa ya nkomolo.
 
Mwaka 2009 nikiwa darasa la nne bibi yangu M-Pesa alikuwa anaiita Mapesa. Hata transactions za mitandao mingine zilizofuatia aliziita hivohivo mpaka badae akajua kuzitofautisha. Mwanzoni alikuwa anagoma wasitume hela uko akidai itaibiwa na wafanyakazi wa mitandao ya simu.
Nipe shikamoo dogo
 
Nitamkumbuka Nduru kwa kuigeuza shiling yetu kuwa pesa ya madafu,mpaka ilifikia kupata chumba na sebule mitaa ya ostbah au massaki mpaka uwe na dollar,na kuruhusu watu wajichotee hela BOT jinsi wanavyo taka,kwanza aliisha tuhumiwa na bunge kuwa aliishi kifisadi.
Shujaa wa Africa hakuwa fisadi?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mwendazake profesa abarikiwe sana katika hii huduma. Japokuwa imeharibu mambo hasa kwa mabaharia (Kwenye kutuma na ya kutolea) ila imerahisisha sana mambo mengine ya kijamii
Faida ni nyingi kuliko hasara.
 
Ule mpango wa kutumia mabasi ya mkoani kutumia pesa umekufa, pesa nyingi zilipotea , nashukuru huu mpango wa kutumia simu .
 
Umuhimu wa wasomi Prof..Lakini Ukija Bungeni Speaker Ndugai anawaacha akima Musukuma , Kibajaji na Jaa pipo Ndio waongoze Bunge kwa Mipasho huku wakiwananga Wasomi wetu.. Pathetic this is only in Tanzania Parliamentary sessions.
Yeye ndo pia aliruhusi beroud de change kiholela na utoroshwaji wa fedha za kigeni ukifabyika kipindi chake na dollar ikapaa kweli kweli kutoka 1600 hadi 2400

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
All in all JK alijitahidi sana kuchomoa Wasomi huko Dunian na kuwarudisha Nyumban kupiga Mzigo, kuna huyu wa BOT, TIC na TPDC na wengine wengi tu

'…leo nipo hapa Makaburi ya Kinondoni kwa huzuni kubwa sana kushuhudia MAKTABA ya uchumi ikizikwa…'
 
Akili hizi ndio zilimshauri Mzee afukuze Maxcom kwny mfumo wa Tiketi za ki electronic kwny mabasi ya mwendokasi na kuweka Suma JKT na virungu kuzuia wizi, matokeo yake Mradi unakufa kwa kasi kwa watu kutengeneza tiketi feki

Yeye ndo pia aliruhusi beroud de change kiholela na utoroshwaji wa fedha za kigeni ukifabyika kipindi chake na dollar ikapaa kweli kweli kutoka 1600 hadi 2400

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
All in all JK alijitahidi sana kuchomoa Wasomi huko Dunian na kuwarudisha Nyumban kupiga Mzigo, kuna huyu wa BOT, TIC na TPDC na wengine wengi tu

'…leo nipo hapa Makaburi ya Kinondoni kwa huzuni kubwa sana kushuhudia MAKTABA ya uchumi ikizikwa…'
Umesahau JK alimchomoa pia Prof . Muhongo aliyekuwa akipiga mzigo nje. leo hii eti CCM ya Magufuli chini ya Musukuma na Kibajaji wanadhiaki usomi wa Muhongo. Kweli JK alikuwa na Maono..
 
Mwaka 2009 nikiwa darasa la nne bibi yangu M-Pesa alikuwa anaiita Mapesa. Hata transactions za mitandao mingine zilizofuatia aliziita hivohivo mpaka badae akajua kuzitofautisha. M wanzoni alikuwa anagoma wasitume hela uko akidai itaibiwa na wafanyakazi wa mitandao ya simu.
Kumbe humu ndani tupo na watoto????
 
Mwaka 2009 nikiwa darasa la nne bibi yangu M-Pesa alikuwa anaiita Mapesa. Hata transactions za mitandao mingine zilizofuatia aliziita hivohivo mpaka badae akajua kuzitofautisha. Mwanzoni alikuwa anagoma wasitume hela uko akidai itaibiwa na wafanyakazi wa mitandao ya simu.
Umenikumbusha kisa cha mzee aliyekataa kupokea fedha kwa mwanae alizotoa kwenye ATM akidai ni bandia kwakuwa hakumwona bank teller yeyote pale kwenye kibox alipotoka na fedha
 
Back
Top Bottom