Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

Muo
Umesahau JK alimchomoa pia Prof . Muhongo aliyekuwa akipiga mzigo nje. leo hii eti CCM ya Magufuli chini ya Musukuma na Kibajaji wanadhiaki usomi wa Muhongo. Kweli JK alikuwa na Maono..
Muongo pamoja na uprofessor wake alisaidia nini taifa?kama sio kufanya udalali tu wa vitalu vya gesi na kudhiaki Watanzania wenzake,kuwa awawezi wekeza ktk gesi wao saizi yao ni kuuza matenga ya nyanya na juice,nibola ya Bitteko mala mia kuliko Muongo, tafuta takwimu na pato la madini wakati wa Muongo na Bitteko nikama mbingu na aridhi,sisi tunaangalia kazi sio sv Bitteko ni zaidi ya professor Muongo ingawa ana bachelor
 
Umenikumbusha kisa cha mzee aliyekataa kupokea fedha kwa mwanae alizotoa kwenye ATM akidai ni bandia kwakuwa hakumwona bank teller yeyote pale kwenye kibox alipotoka na fedha
Ushamba mzigo.
Kuna dada flani aliniomba simu aongee na mumewe yupo Uganda, nikamwambia adownload whatsapp awe anabonga na mumewe kirahisi, alinikemea kama pepo eti whatsapp ni ya mafree mason[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anasema eti kazi zilisimama kwa muda wa miaka 5 ila kwa sasa kazi zinatakiwa ziendelee
Uzuri hakuna tena "serikali ya Magufuli" kuna "serikali ya Jamhuri ya muungano" watu wanajibinafsisha vitu .Mkapa angekuwepo naye angesema na fulani wa BOT wakati nikiwa rais alianzisha ........
 
Kumbukizi ya Prof ndulu imefanyika 22/4/2021,kikwete angewezaje kuyasema hayo kabla ya 17/3/2021?Msome habari na kuelewa ndio mtoe shombo zenu
kwanini JK hakunena maneno haya enzi za Mwendazake??
 
Mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa

Tangu kaondoka Muhongo kuna Vitalu vingapi vya gesi vimenunuliwa na Wazawa?
Muo

Muongo pamoja na uprofessor wake alisaidia nini taifa?kama sio kufanya udalali tu wa vitalu vya gesi na kudhiaki Watanzania wenzake,kuwa awawezi wekeza ktk gesi wao saizi yao ni kuuza matenga ya nyanya na juice,nibola ya Bitteko mala mia kuliko Muongo, tafuta takwimu na pato la madini wakati wa Muongo na Bitteko nikama mbingu na aridhi,sisi tunaangalia kazi sio sv Bitteko ni zaidi ya professor Muongo ingawa ana bachelor
 
Mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa

Tangu kaondoka Muhongo kuna Vitalu vingapi vya gesi vimenunuliwa na Wazawa?
Tatizo sio kununua,yeye alisaidiaje hawa Watanzania kunufaika lasilimali za nchi yao?baada ya kutukana tu,Usomi unaoneka ktk kutatua matatizo ya hao waliokutuma kuwawakilisha na sio kuwatukana.Kwanza yeye kasomeshwa na kodi za Watanzania ili aje kuwasaidia,baada ya kuwasaidia anaanza kuwa dalali wa mabeberu.
 
Mwaka 2009 nikiwa darasa la nne bibi yangu M-Pesa alikuwa anaiita Mapesa. Hata transactions za mitandao mingine zilizofuatia aliziita hivohivo mpaka badae akajua kuzitofautisha. Mwanzoni alikuwa anagoma wasitume hela uko akidai itaibiwa na wafanyakazi wa mitandao ya simu.
Aisee Watoto ni wengi sana humu
 
Nyie tufanyeni watoto,, huwezi ukakwepa teknolojia,, huyo Ndulo ni nani kwenye teknolojia??!!
 
Hii miamala ya kifedha kwenye simu imekua msaada mkuvwa sana.
Hapo namsifu Prof Ndulu na JK kwa kuwa soft na kuwaachia wataalam waendelee na mawazo yao. Hapa najifunza kitu kikubwa sana kuwa utawala shirikishi ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi.

Ila huyu Mzee JK alikuwa kimya sana 2015-2020, sijui alipatwa na nini?
 
Nitamkumbuka Nduru kwa kuigeuza shiling yetu kuwa pesa ya madafu,mpaka ilifikia kupata chumba na sebule mitaa ya ostbah au massaki mpaka uwe na dollar,na kuruhusu watu wajichotee hela BOT jinsi wanavyo taka,kwanza aliisha tuhumiwa na bunge kuwa aliishi kifisadi.
Chumba na sebule masaki kwa mwezi sh.ngapi?
 
Ni kweli.lakini waanzilishi walikuwa wafilipino wao hadi leo simu kiganjani waweza mrushia mtu yeyote duniani au kupokea pesa kiganjani toka popote duniani sisi hatujawafikia wafilipino
 
Back
Top Bottom