Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Atuambie ule upuuzi wa Serikali za mitaa kwanini aliunyamazia? ana masilahi gani na yale mauaji ya Wagombea wa Upinzani?Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Kikwete , sitaki nikutukane, lakini unatupeleka kwenye angle ya kukutukana. Kwa akili ya kuzaliwa tu , hata ya lofa , Mwenyekiti wa Yanga club anakubalika akawa refa wa mechi kati ya Yanga na Simba?Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Yes, JK Yupo sahihi sana.Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Na kwanini wanaalikaha watu wenye zero knowledge in law/legal field?? of all intellectuals in law, wamemuona huyu?Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Hataishi Milele. Ataviacha vyoteHuyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii.
Hivi pitiku ndio ile mboga ya majani ya maboga au ni ile mboga itokanayo na majani ya maharage?Ninyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Acheni kujitoa akili aisee,wakati iko wazi sheria zetu za uchaguzi ni mbovu na haziwezi kutupa viongozi wanaowajibika kwa wananchi zaidi ya kujipendekeza(chawa)tu.Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661