Kibaya unajitengenezea wigo wa kutawaliwa wewe na kizazi chako chote,maana naamini hakuna mtoto au familia ya kiongozi ambao ni machawqYes, JK Yupo sahihi sana.
nadhan vibaka na matepeli wa siasa tu ndio leo wanaona sheria za uchuguzi ni mbaya mno, hasa baada ya kujikuta hawana ajira kwa muda mrefu sana na mambo yanawawia vigumu kufanya comeback 🐒
Huyu Mzee Kavu sana!Hopeless kabisa huyu mzee. Analinda uwaziri wa mwanae. Hovyo kabisa!
Upo wapi hapoNinyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
mihemko, fikra na dhana potofu hufanya malofa wengi kua kwenye mode ya makasiriko tu na matokeo yake ni kutawaliwa kirahisi daima wakiwa na makasiriko yao 🐒Kibaya unajitengenezea wigo wa kutawaliwa wewe na kizazi chako chote,maana naamini hakuna mtoto au familia ya kiongozi ambao ni machawq
Mpiga diliRais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Chawa mpumbavu tu wewe utaishia kulamba viatu vya watawala,na utakufa na kuzikwa na ujinga wakomihemko, fikra na dhana potofu hufanya malofa wengi kua kwenye mode ya makasiriko tu na matokeo yake ni kutawaliwa kirahisi daima wakiwa na makasiriko yao 🐒
Pitiku na kapilipil kwa mbaliiiNinyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Si ndioo, 😂😂😂Pitiku na kapilipil kwa mbaliii
Sipo popote.Upo wapi hapo
1. Oktoba tunatiki
2 no reforms no election
Naomba mwanasheria.kabla sijaandika chochoteRais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Huyu mzree aache kuumiza watanzaniaRais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Mtoto tulia usije pasuka kwa hasiraNinyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Kama neno tu "amechanganyikiwa"limeleta shida kwa mwanasiasa bora kujinyamaziaNinyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Kwa kweli, 😂😂😂😂Kama neno tu "amechanganyikiwa"limeleta shida kwa mwanasiasa bora kujinyamazia
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661