Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

Hadi nafsi inamsuta. Kumbe ndo maana rais Samia alimuita Dodoma ili ampange. Akawa anamzungusha kwenye miradi ya Magufuli aliyomalizia..

Kikwete ameamua kumbeba Mama. Kabembelezwa sana ndo maaa hata anayoongea hayaeleweki sababu anatimiza wwajibu isionekane hajamtetea Mzanzibar
 
"Kwa wale conservatives wanaotaka mambo yabaki hivi (uchaguzi bila katiba mpya) Kwa kuendelea kulinda wakubwa,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatokuwepo!!

JAL 1 is done 2 and 3 are next!!!

Nasubiri baada ya Bunge kuvunjwa!!
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Hana hata aibu
 
Kama sikosei huyu mkuu alitunukiwa udaktari wa falsafa (PhD)s kadhaa lakini mwishoni kabisa na urais wake alitunukiwa uprofesa na chuo kimoja huko China. Si nii sawa?
 
"Kwa wale conservatives wanaotaka mambo yabaki hivi (uchaguzi bila katiba mpya) Kwa kuendelea kulinda wakubwa,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatokuwepo!!

JAL 1 is done 2 and 3 are next!!!

Nasubiri baada ya Bunge kuvunjwa!!
Kwsababu wamepandokiza familia zao mle ndiyo maana wanapambania sheria za kijinga zinazobezwa na wapigakura
 
RIVAL SO TO SPEAK OF LAW SOCIETY, A PARALLEL ORGANISATION FORMED

21 November 2024
Freetown, Sierra Leone

Sierra leone Bar association accused newly formed Lawyers society....


View: https://m.youtube.com/watch?v=KPTKmwkdOEk

More info :

Editor's Picks

Unite the Bar, Don’t Undermine the Law Society​

February 21, 2025
This morning, during the second day of the Lawyers’ Society meeting, a shocking revelation emerged that paints a deeply troubling picture.

Faith Odhiambo, President of the Law Society of Kenya, was reportedly dissuaded from attending as the keynote speaker—allegedly due to diplomatic interference.

This incident raises serious concerns about the erosion of judicial and professional independence in Sierra Leone, and the government’s apparent determination to stifle open discourse within the legal fraternity.

According to reports, the Acting Ambassador of Sierra Leone to Kenya personally approached Ms. Odhiambo and informed her that her safety and security could not be guaranteed if she proceeded to travel to Freetown – she eventually delivered her address yesterday via zoom.

The “Acting” Ambassador allegedly claimed to be acting on instructions from the Secretary to the President.

To compound matters, Sierraeye has learnt that when the Lawyers’ Society sought assurances from the Attorney-General and Minister of Justice, who himself declined an invitation to attend the event, he refused to provide written guarantees for the guest speaker’s safety.

If these allegations are true, they represent an egregious and unacceptable affront to the independence of the legal profession.

The government’s actions send a chilling message – it would rather suppress open dialogue and intimidate legal professionals than allow a legitimate professional body to operate freely.

This is not merely an attack on the legal community; it is a dangerous precedent that undermines democracy and the rule of law in Sierra Leone.


The Lawyers’ Society of Sierra Leone was established in the wake of the chaotic and highly controversial elections of the Sierra Leone Bar Association (SLBA) in May last year.


Those elections were widely condemned for blatant irregularities, including ballot tampering and state interference, which ultimately led to a disputed outcome.

The majority of Sierra Leone’s lawyers, disillusioned by the lack of transparency and fairness, chose to form an alternative professional body—the Lawyers’ Society.

Rather than seeking to reconcile the divided legal fraternity and promote unity, the government has instead taken sides. It has embraced and legitimised the disputed SLBA while actively undermining the newly formed Lawyers’ Society.


The legal profession is a cornerstone of any democratic society, tasked with upholding the rule of law and ensuring accountability.

When governments seek to control or manipulate this profession, they erode public trust in the justice system and the broader democratic process. In the face of such blatant intimidation, silence is not an option.

The legal community must rally to defend the principles of justice and the rule of law. The government’s actions must be condemned in the strongest terms.
Source : SierraEye
 
Kama sikosei huyu mkuu alitunukiwa udaktari wa falsafa (PhD)s kadhaa lakini mwishoni kabisa na urais wake alitunukiwa uprofesa na chuo kimoja huko China. Si nii sawa?
Alitunukiwa na nchi zinazonufaika naye na huenda alituma wapambe wake kwenda kuhonga ili awe considered for
 
Na kwanini wanaalikaha watu wenye zero knowledge in law/legal field?? of all intellectuals in law, wamemuona huyu?

..Je watetezi wa NRNE walipewa nafasi ya kuwasilisha HOJA / MAONI yao?
 
Nilikuwa najiuliza Vijana Wahuni huwa wanaishia wapi? Kumbe nao wanazeeka na kuwa Wazee Wahuni
 
Yes, JK Yupo sahihi sana.
nadhan vibaka na matepeli wa siasa tu ndio leo wanaona sheria za uchuguzi ni mbaya mno, hasa baada ya kujikuta hawana ajira kwa muda mrefu sana na mambo yanawawia vigumu kufanya comeback 🐒
Hili swali halina majibu gentleman,hivi Ridhiwan anaweza kuwa hakimu wa kesi ya Kikwete na Salima?
 
Sema kuna namna flani kama kuna mambo hayaongei kwa confidenc. Ni kama kuna kitu hakipo sawa iv
 
Huyu Mzee aisee basi TU

Yupo kwenye kilele Cha furaha Cha ustaafu ikilu anaingia muda wowote tofauti na nyakati za magufuli, Mzee kagoma kustaafu kabisa

Ya sheria za uchaguzi anaziona ila ya kupotea na watu kutekwa hayaoni na kuyazungumzia na lutoa ushauri kama Mzee na mstaafu
 
"TUMETAPAKAA NCHI NZIMA, TUNAELEKEA OKTOBA 2025 HIVYO TUMEJIANDAA KUTOA ELIMU "....

View: https://m.youtube.com/watch?v=nclLbxW74YY
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, msomi Bavoo Junus akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam, Junus na kufafanua chama cha mawakili wa serikali (Public Bar Association) wanachama ni wale walio katika utumishi wa umma yaani serikalini na taasisi za umma na idadi yao wapo zaidi ya 5,000.

Chama sasa kinakuwa jukwaa kwa kutoa elimu kwa umma, hivyo Public Bar Association inazingatia tunaelekea October 2025 ni wakati muafaka sisi kama chama cha mawakili kutoa elimu sahihi kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025



Tanzania Public Bar Association (TPBA)​

Welcome to the official website of the Tanzania Public Bar Association (TPBA).

We are delighted to extend a warm welcome to all State Attorneys and Law Officers in the public service.


The TPBA stands a beacon of integrity where legal professionals from all backgrounds come together to share insights, exchange ideas and foster positive change in society.

At the TPBA, we are committed to upholding the highest standards of professionalism, promoting justice and fostering excellence within the legal community.

The TPBA serves as a hub for legal practitioners within the public service to connect, collaborate and thrive while upholding integrity and professionalism at all levels in the course of legal service delivery.

Whether you're seeking networking opportunities, professional development resources or simply looking to stay informed about the latest trends in the legal industry, you will find a wealth of information here.


We invite you to explore our website, engage with our content and connect with fellow members of the legal community.

Together, we can contribute to the advancement of the legal profession and make a positive impact on society.

Thank you for visiting the Tanzania Public Bar Association. We look forward to your active participation and engagement. Best regards, DOYEN

READ MORE :
 
Back
Top Bottom