Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Aliyemtupa rafiki yake Mkubwa, Lowassa, baadaye akamengua kwenye majina waliotia nia, sijui kama hata kwenye msiba wake alienda, mtu huyu anaweza kuaminika? Anapenda sana kuwa yeye tu!Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661