Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Acha kamba mzee...watu wenye highest IQ wapo Mashariki ya mbali huko..hakuna cha Ashkenazi Jews wala nini..
View attachment 2128183
Soma upate maarifa,. utahitaji kusoma zaidi uelewe nachokwambia, hao Ashkenazi Jews ndio wanao control the global economy, acha ku google, soma papers, ni community ndogo duniani ila ndio wanao control Dunia hii, achana tu na ku google nchi gani Ina watu wenye IQ kwa wingi etc
 
Ulitumia kipimo gani kujua Wahaya na watu wa mwambao wa Ziwa wana uwezo mkubwa wa akili?
Vipi kuhusu watu wa mwambao wa Pwani( Bagamoyo, Pangani, Lindi, Mtwara) ambako nako huko samaki zinapatikana? Nao wana uwezo mkubwa wa akili?
Pwani tangu lini watu wakawa na uwezo mkubwa wa kiakili? Kati ya 10000 utapata mmoja.
 
Mimi nawajua Ashkenazi Jews...kuna kitabu kinaitwa The Thirteen tribe. Kwanza sio Jews at all. Ni wazungu wa East Europe waliofata mila za kiyahudi. Sio wayahudi at all. So I know what I'm talking about. Labda kama wewe ndo hujui unaongelea nini. Na kushikilia uchumi wa dunia haina maana ndo IQ kubwa.. lazima uangalie historia kwanini walijikuta wakiwa money landers, baadae bankers. Hivyo dogo inatakiwa ujue kutofautisha kati ya IQ na opportunity.
 
Ulitumia kipimo gani kujua Wahaya na watu wa mwambao wa Ziwa wana uwezo mkubwa wa akili?
Vipi kuhusu watu wa mwambao wa Pwani( Bagamoyo, Pangani, Lindi, Mtwara) ambako nako huko samaki zinapatikana? Nao wana uwezo mkubwa wa akili?
Kuna papers zipo kidhaa wamekuja wazungu kufanya tafiti,. Na sio Tz tu hadi Kenya upande wa ziwa Victoria, Wa Luo wana akili sana na wanasema ni hao sangara na dagaa...ndio wanatoka kina Obama huko, very smart people, ukiona mzungu anaenda sehemu kufanya tafiti za Brain science ujue kuna jambo wameliona. Na kuhusu pwani inategemea samaki gani mtu anakula,kuna samaki wengine ni dentrimental, wana madhara kuliko faida, lazima awe fatty fish with low or no toxins kama mackerel, sardines, herring etc, sio unakula papa au tuna etc
 
Kila kiongozi hula na vipofu wanaomuhusu, Magu alikuwa na circle yake vivyohivyo kwa Kikwete.

Hata sasa SSH anakula na vipofu wake na sio lazima kila mtu awe mnufaika, wewe sasahivi hapo ulipo KUINGIA kaa Samia kumekupa unafuu gani wa maisha??
Kikwete alikuwa anakula na watz wote. Huoni watu wanaandika thread humu kwamba "JK alikuwa anapata wapi hela za kuajiri nyomi kiasi kile kila mwaka"?.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Pwani tangu lini watu wakawa na uwezo mkubwa wa kiakili? Kati ya 10000 utapata mmoja.
Lakin ajabu ndo haohao "waswahili" wanashikilia nchi, kuanzia kwenye siasa,soka, mziki, nk..mnakwama wapi watu wa bara? Japo na mimi ni m bara
 
Opportunity haiwezi kubaki kwako kwa muda mrefu ikiwa huna IQ ya maana. Kupata opportunity hata mjinga anapata ila swala la kuitunza na kuiendeleza ni swala la IQ.
 
Lakin ajabu ndo haohao "waswahili" wanashikilia nchi, kuanzia kwenye siasa,soka, mziki, nk..mnakwama wapi watu wa bara? Japo na mimi ni m bara
Nilifikiri unazungumzia swala la akili kumbe ulimaanisha kupata nafasi serikalini?? Kupata nafasi haina maana kuwa una akili, we huoni mama yenu anavyohangaika??

Mpira na pwani wapi na wapi? Mziki na pwani wapi na wapi??
 
Opportunity haiwezi kubaki kwako kwa muda mrefu ikiwa huna IQ ya maana. Kupata opportunity hata mjinga anapata ila swala la kuitunza na kuiendeleza ni swala la IQ.
Sasa hapo haimaanishi wewe ndo una akili kuliko wote kama anavyosema jamaa..kitu kinawasaidia wayahudi ni culture yao. Soma kitabu cha David Landes (myahudi huyu pia) kinaitwa THE WEALTH AND POVERTY OF NATIONS. Utajua kwanini nchi au jamii flan zinakuwa tajiri na nyingine zinakuwa masikini. Inategemea na culture, environment, habits etc. Vitu ni vingi. Tatizo mnarahisisha mambo sana
 
Nchi zinazoongoza kwa kula papa ni Italia, Span, Korea na Hong Kong!
Japan ndio inaongoza kwa kula Tuna, robo ya tuna duniani inaliwa na Japan!
 
Mimi ninachosisitiza ni kwamba, pamoja na hizo factor nyingine unazotaja swala la IQ litakuwa included tu, no matter how unajaribu kuliruka.

Yes kuna factor nyingine nyingi zinazofanya wafanikiwe, IQ ni moja ya factor.
 
Weka Angalau papers tatu, halafu unatumia kipimo gani kusema watu wana akili sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…