Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Huyu mwendazake wakati anawasakama watangulizi wake kwa maneno ya hovyo mbona haikuwauma?
Huyu ngosha hata kama alishatutoka wacha watu waendelee kumnanga tu!
 
Mbona wakina sie tulikuwa tunamsagia kunguni hapa JF hata wakati yupo hai, sema mi ccm imejaa unafki sana ndio maana wamesubiri afe
Kumsagia kunguni ngosha kwa ID yako fake ndio uwaone CCM wanafiki?
Hata sisi tulikuwa wanafiki kama CCM.Baadhi ya CCM kama sio wote walikuwa waoga sio wanafiki chief.
Kwani wewe huogopi kuokotwa kwenye kiroba?
 
Mzee mkapa alituingiza Chaka muhimu rekodi zaviongozi wetu kufatiliwa toka kwenye ngazi ya familia
Nchi hii bila kiongozi kuwa mkali itakuwa ni taabu tu kwa watu wa hali ya chini !!! Angalia sasa bidhaa muhimu zinavyopanda bei kila kukicha !! Bandugu muwe na huruma kwa wanyonge !!!
 
Huyu mwendazake wakati anawasakama watangulizi wake kwa maneno ya hovyo mbona haikuwauma?
Huyu ngosha hata kama alishatutoka wacha watu waendelee kumnanga tu!
Legacy yake inazidi kunawiri huku mitaani kutokana na bidhaa muhimu kupanda bei kila kukicha !! Na hospitali mambo yamerudi yale yale ya kuudhi, wameanza kusema TUNAMKUMBUKA !!!
 
Ila mbona marehemu alikuwa anawasema vibaya sana kina jk?
 
Mzee Jakaya katema nyongo Mwenda alikuwa anaamini mamba ya kipuuzi😆
 
Very very true Indeed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…