Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.

Naanza kuona traits of narcissism, kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi atujajua bado.

Ni sawa na Mwamunyange pamoja na wastaafu wengine wa vyombo vya ulinzi kila mara kutukumbusha wao walikuwa na majukumu gani, wana siri zipi za nchi, namna walivyotulinda, wanavyoijua mipaka ya nchi, security threats walizokutana nazo kutoka ndani na nje ya nchi ambazo bila ya weredi wao taifa lingetumbukia pabaya. Halafu at the end of the day waamini hakuna mtu anaeweza hiyo kazi zaidi yao, ivyo ni jukumu lao kuwasimanga watu kama hakina Mabeyo kwa sababu at one point walikuwa chini yao. As far as they understand huko jeshini ni wao tu ndio walikuwa trained kuongoza taasisi za ulinzi.

Huyo ndio J.K ukimsikiliza it’s been seven years lakini anaongea kama kaondoka jana tu, mzee Shein mwaka mmoja tu ukimya wake unaonyesha kuna change of administration Zanzibar.

Mzee wa Msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli wenyewe kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is needed.
Huyu mwendazake wakati anawasakama watangulizi wake kwa maneno ya hovyo mbona haikuwauma?
Huyu ngosha hata kama alishatutoka wacha watu waendelee kumnanga tu!
 
Mbona wakina sie tulikuwa tunamsagia kunguni hapa JF hata wakati yupo hai, sema mi ccm imejaa unafki sana ndio maana wamesubiri afe
Kumsagia kunguni ngosha kwa ID yako fake ndio uwaone CCM wanafiki?
Hata sisi tulikuwa wanafiki kama CCM.Baadhi ya CCM kama sio wote walikuwa waoga sio wanafiki chief.
Kwani wewe huogopi kuokotwa kwenye kiroba?
 
Mzee mkapa alituingiza Chaka muhimu rekodi zaviongozi wetu kufatiliwa toka kwenye ngazi ya familia
Nchi hii bila kiongozi kuwa mkali itakuwa ni taabu tu kwa watu wa hali ya chini !!! Angalia sasa bidhaa muhimu zinavyopanda bei kila kukicha !! Bandugu muwe na huruma kwa wanyonge !!!
 
Huyu mwendazake wakati anawasakama watangulizi wake kwa maneno ya hovyo mbona haikuwauma?
Huyu ngosha hata kama alishatutoka wacha watu waendelee kumnanga tu!
Legacy yake inazidi kunawiri huku mitaani kutokana na bidhaa muhimu kupanda bei kila kukicha !! Na hospitali mambo yamerudi yale yale ya kuudhi, wameanza kusema TUNAMKUMBUKA !!!
 
Ila mbona marehemu alikuwa anawasema vibaya sana kina jk?
 
Mzee Jakaya katema nyongo Mwenda alikuwa anaamini mamba ya kipuuzi😆
 
Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.

Naanza kuona traits of narcissism, kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi atujajua bado.

Ni sawa na Mwamunyange pamoja na wastaafu wengine wa vyombo vya ulinzi kila mara kutukumbusha wao walikuwa na majukumu gani, wana siri zipi za nchi, namna walivyotulinda, wanavyoijua mipaka ya nchi, security threats walizokutana nazo kutoka ndani na nje ya nchi ambazo bila ya weredi wao taifa lingetumbukia pabaya. Halafu at the end of the day waamini hakuna mtu anaeweza hiyo kazi zaidi yao, ivyo ni jukumu lao kuwasimanga watu kama hakina Mabeyo kwa sababu at one point walikuwa chini yao. As far as they understand huko jeshini ni wao tu ndio walikuwa trained kuongoza taasisi za ulinzi.

Huyo ndio J.K ukimsikiliza it’s been seven years lakini anaongea kama kaondoka jana tu, mzee Shein mwaka mmoja tu ukimya wake unaonyesha kuna change of administration Zanzibar.

Mzee wa Msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli wenyewe kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is needed.
Very very true Indeed...
 
Back
Top Bottom