..sijaona tatizo ktk hotuba ya JK.
..amemzungumza vizuri marehemu, na ameeleza mchango wa marehemu kwa taifa.
Hotuba yake ilikuwa nzuri tu mimi sijaona alipomtupia mtu jiwe!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..sijaona tatizo ktk hotuba ya JK.
..amemzungumza vizuri marehemu, na ameeleza mchango wa marehemu kwa taifa.
Huyu mwendazake wakati anawasakama watangulizi wake kwa maneno ya hovyo mbona haikuwauma?Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.
Naanza kuona traits of narcissism, kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi atujajua bado.
Ni sawa na Mwamunyange pamoja na wastaafu wengine wa vyombo vya ulinzi kila mara kutukumbusha wao walikuwa na majukumu gani, wana siri zipi za nchi, namna walivyotulinda, wanavyoijua mipaka ya nchi, security threats walizokutana nazo kutoka ndani na nje ya nchi ambazo bila ya weredi wao taifa lingetumbukia pabaya. Halafu at the end of the day waamini hakuna mtu anaeweza hiyo kazi zaidi yao, ivyo ni jukumu lao kuwasimanga watu kama hakina Mabeyo kwa sababu at one point walikuwa chini yao. As far as they understand huko jeshini ni wao tu ndio walikuwa trained kuongoza taasisi za ulinzi.
Huyo ndio J.K ukimsikiliza it’s been seven years lakini anaongea kama kaondoka jana tu, mzee Shein mwaka mmoja tu ukimya wake unaonyesha kuna change of administration Zanzibar.
Mzee wa Msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli wenyewe kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is needed.
Wakati wanaharibu nchi nyinyi mlikuwa wapi ?Hao uliowataja wote ndo wametuharibia nchi.
Mbona wakina sie tulikuwa tunamsagia kunguni hapa JF hata wakati yupo hai, sema mi ccm imejaa unafki sana ndio maana wamesubiri afeAngeacha wamsagie kunguni akiwa hai. Yeye aliminya watu wasimseme ili agundue nini?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kumsagia kunguni ngosha kwa ID yako fake ndio uwaone CCM wanafiki?Mbona wakina sie tulikuwa tunamsagia kunguni hapa JF hata wakati yupo hai, sema mi ccm imejaa unafki sana ndio maana wamesubiri afe
Inawezekana !! Babu aliwashika wengi sana na kikombe chake !!Mbona inasemekana hata yeye mwenyewe alinywea Kikombe cha babu akiwa kwenye helikopita?
Nchi hii bila kiongozi kuwa mkali itakuwa ni taabu tu kwa watu wa hali ya chini !!! Angalia sasa bidhaa muhimu zinavyopanda bei kila kukicha !! Bandugu muwe na huruma kwa wanyonge !!!Mzee mkapa alituingiza Chaka muhimu rekodi zaviongozi wetu kufatiliwa toka kwenye ngazi ya familia
Legacy yake inazidi kunawiri huku mitaani kutokana na bidhaa muhimu kupanda bei kila kukicha !! Na hospitali mambo yamerudi yale yale ya kuudhi, wameanza kusema TUNAMKUMBUKA !!!Huyu mwendazake wakati anawasakama watangulizi wake kwa maneno ya hovyo mbona haikuwauma?
Huyu ngosha hata kama alishatutoka wacha watu waendelee kumnanga tu!
Unafiki, babako au babu unamsema mpaka leo kisa hakufanya jambo flani?.Ila yeye alivyowachapa wenzie viboko kwa maneno na vitendo alikuwa na urafiki wa kweli?
Humu ID zinatusitiriMbona wakina sie tulikuwa tunamsagia kunguni hapa JF hata wakati yupo hai, sema mi ccm imejaa unafki sana ndio maana wamesubiri afe
Very very true Indeed...Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.
Naanza kuona traits of narcissism, kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi atujajua bado.
Ni sawa na Mwamunyange pamoja na wastaafu wengine wa vyombo vya ulinzi kila mara kutukumbusha wao walikuwa na majukumu gani, wana siri zipi za nchi, namna walivyotulinda, wanavyoijua mipaka ya nchi, security threats walizokutana nazo kutoka ndani na nje ya nchi ambazo bila ya weredi wao taifa lingetumbukia pabaya. Halafu at the end of the day waamini hakuna mtu anaeweza hiyo kazi zaidi yao, ivyo ni jukumu lao kuwasimanga watu kama hakina Mabeyo kwa sababu at one point walikuwa chini yao. As far as they understand huko jeshini ni wao tu ndio walikuwa trained kuongoza taasisi za ulinzi.
Huyo ndio J.K ukimsikiliza it’s been seven years lakini anaongea kama kaondoka jana tu, mzee Shein mwaka mmoja tu ukimya wake unaonyesha kuna change of administration Zanzibar.
Mzee wa Msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli wenyewe kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is needed.
Absolutely!Very smart observation, huyu mzee ana matatizo sana . Tena sio kidogo, he just want to be relevant unfortunately majority hawana time nae.,
Shujaa kwako na sio kwa woteAngalia nisikuroge ndugu raia.
Na iwe mwisho kumsimanga shujaa
Jiwe hata siku ya kumbukumbu ya yeye kwenda motoni serikali ilipiga kimya, aiseeAbsolutely!
No one have time na huyu kiumbe...