Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Ntakutafutia specific papers ila soma hii itakupa perspective, na tafuta hata kwa ku google maziwa ya mama yenye DHA O.7% and above and its relationship with Intelligence Quotent! Ni vizuri kujisomea widely, maybe kutokusoma ndio chanzo Cha our misery!
Kutosoma inaweza kuwa chanzo cha our misery ila sio kutokula samaki.
 
Ahahahahahaha kwahiyo Bwn msukuma nae anakili kuliko watz wengine kwakua ni kiongozi??

Nimekulewesha vizuri kabisa, hapa Tz swala la kuongoza halihitaji akili hata wewe hapo pamoja na ujinga wako ninaouona katika kujenga hoja unaweza kabisa kuwa kiongozi.

Na swala hilo ndo limefanya hii nchi ishindwe kuendelea, we fikiria kwa jinsi ambavyo miaka ya 2005-2010 yalijazwa matutusa yaliyofeli formfour kwenye utumishi wa umma halafu kaa chini ujiulize.

Mtu kapata four ya 26-28 anaenda kusomea Nursing, Clinical Officer, Polisi ,wengine Bandarini, TRA...na mengine hata bila kusoma yamo serikalini huko.
Msukuma ana akili kwasababu ana apartment zaidi ya 180 nchi nzima, sio nyumba...ni apartment! Ana migodi, ana mabasi nk. Wewe una nini? Cheti cha degree ndo unaona una akili? Nyie ndo wale mnaona kuwa na akili ni kuongoza darasani
 
Na ndiomaana karibia 85% ya watumishi wa umma Tz ni incompetent, wengi ni wajinga tu. Eti division four ya 28 mtu anaenda kusomea nursing, ooh polisi matokeo yake tumaejaza watu wa hovyo tu kwenye sekta nyeti na hao ndo wanatupa shida mpaka hii leo.
Incompetence ni tatizo la mfumo mzima wa Elimu. Sio la JK. Nchi hii mwenye Division 1 na Division 4 kuwatofautisha ni kazi ngumu. Angalau yeye alionesha kuthamini ustawi wa binadamu. Sio kuendekeza ukatili na visasi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nipe links 3 ya hizo papers
Mzee inaonekana ni mtu unapenda maarifa ila pia ni Mtu unapenda kubisha un intelligently, unfortunately siwezi beba mzigo wa ignorance yako, you're capable of reading and exploring, plse do then uwe unakuja na alternative thinking then we can have meaningful discussion, kwa mfano kama unaona samaki hawana mchango kwenye IQ nipe alternative explanation, the Brain is made up of lipids (DHA, ALA, ARA, cholesterol, ) hivi vitu mtoto akikosa esp kuanzia 2&3 trimester and the first 3 years of life hata kama genetically is predisposed kuwa na higher IQ it'll lower his or her IQ significantly.

The brain won't function at optimal levels na kuna papers kibao...hata uki google unapata, ila kama unataka serious papers and journals nenda kwenye hii site www.sciencedirect.com utapata maarifa sana ya unachotaka kujua
 
..umesikiliza hotuba nzima aliyotoa Mzee Kikwete?

..nadhani hujamtendea haki Mzee Kikwete. Hebu msikilize hapa chini.

Itoshe kusema kwamba alia nzisha uzi ndiye mwenye chuki ya wazi kwa Jk
Pia ni mchonganishi
Jk kataja baraza lake la mawaziri wengine kawataja majina kabisa, ila yeye kachagua mmoja ili kumchonganisha na Jk
Tuache chuki na uchonganishi , haunaga afya kwa taifa
 
Ahahahahahaha kwahiyo Bwn msukuma nae anakili kuliko watz wengine kwakua ni kiongozi??

Nimekulewesha vizuri kabisa, hapa Tz swala la kuongoza halihitaji akili hata wewe hapo pamoja na ujinga wako ninaouona katika kujenga hoja unaweza kabisa kuwa kiongozi.

Na swala hilo ndo limefanya hii nchi ishindwe kuendelea, we fikiria kwa jinsi ambavyo miaka ya 2005-2010 yalijazwa matutusa yaliyofeli formfour kwenye utumishi wa umma halafu kaa chini ujiulize.

Mtu kapata four ya 26-28 anaenda kusomea Nursing, Clinical Officer, Polisi ,wengine Bandarini, TRA...na mengine hata bila kusoma yamo serikalini huko.
Ila bwana mac, wanyonge wanyongeni tu lakini haki yao wapeni! Hiyo four 26-28 ndo uhalisia wa mambo na wote tunajua makosa makubwa siyo tu hao wajinga wanao shikilia hizo nafasi nyeti kwa elimu hiyo! Hata hao wamewazi wenye wani za 7, ujinga kidogo tu! Mfumo wa elimu yetu ni duni na ndo unatuzalishia mapooza! Au unataka kusema dr. Madelu kamzidi sana dr. Msukuma?! Si wote ni wa mule mule tu, pamoja le prefesour wa mambo ya nje zamani?!
 
Ndomaana namwambia huyo jamaa anaedai eti kila kiongozi ana akili kwakua anatuongoza.

Sikupingi, hapa tz watu wenye akili na IQ kubwa ni wachache sana, labda huko BOT, na kwenye sekta ya afya (wale wazee) achana na hawa vijana wa sikuhizi.
 
Hata nyerere kipindi amestaafu, bado alikua anaongelea siasa mfano kuzuia NBC bank isiuzwe, japo mkapa hakumzimiliza, au kuwatungia akina john malecela kitabu ili asigombee urais,,,
Sasa kama Nyerere alikua kastaafu lskini bado alikua anaongea , kama mkapa alistaafu lakini bado alikua anaingilia hata kuchagua nani awe mgombea urais. ,
Iweje leo iwe nongwa kwa jk, kuongelea suala dogo kama hilo ambalo pia ni ukweli?

Hivi mnadhani kwanini marais wastaafu nao hupewa security briefing?..
I mean ukimtoa mwinyi ambae umri umeenda sana, JK ndo anabaki kuwa Rais mstaafu pekee ambae bafo yuko capable,
Which means anakuwa automatically someone to run to for getting some advices in running the country. ,
Aaand that is very reasonable,, ukichukulia Rais aliepo bado hajamaliza hata mwaka madarakani[emoji2371]
Kama sio Mkapa kuingilia kati JPM asingekuwa rais leo hii, na wakati huo akishakuwa mstaafu tayari. Afrika tunao utamaduni wa seniority, wazee kuheshimiwa kauli zao na ushauri wao.
 
Kutosoma inaweza kuwa chanzo cha our misery ila sio kutokula samaki.
Please kasome papers kuhusu Brain development from pregnancy to 3 years, naomba usiache hata papers 3,. serious papers then urudi uniambie kama una msimamo huu huu, kingine, nitakutafutia paper Moja mtu amefanya tafiti zaidi ya miaka 8 na swali lilikuwa Moja tu kwann waisrael wana akili, ukiitafuta utaipa, ukisoma utaelewa kwa namna gani nurture ni kitu muhimu sana kutengeneza jamii ya watu wenye uwezo kiakili
 
Msukuma ana akili kwasababu ana apartment zaidi ya 180 nchi nzima, sio nyumba...ni apartment! Ana migodi, ana mabasi nk. Wewe una nini? Cheti cha degree ndo unaona una akili? Nyie ndo wale mnaona kuwa na akili ni kuongoza darasani
Ahahahahaaa kijana hizo hoja unazoleta si msingi wa mada yetu, wewe ulidai kuwa hakuna watu wenye akili (wasomi) kama watu wa pwani. Nimekwambia nitajie hao watu wa pwani wenye akili ukashindwa kisha ukajiingiza kwenye swala la viongozi, unadai kwamba kuwa kiongozi ni ishara ya kuwa na akili nyingi sana.

Kuwa kiongozi ni ishara ya kuwa na akili nyingi sana😂. Mimi nimekuelewesha vizuri kabisa kuwa, swala la kuongoza hapa Tz halihitaji kuwa na akili nyingi sana hata wewe pamoja na ujinga wako unaweza kuwa kiongozi hapa Tz na nimekupa mfano wa Bwn.Msukuma ila naona umeshindwa ku-deal na mada naona umekimbilia kwenye mali.

Haya tuachane na swala la akili sasa tujadili swala la mali nyingi kama unavyotaka.
 
Nionyeshe hapa wapi nimesema "hakuna watu wana akili ( wasomi)
kama watu wa Pwani".... utakuwa una matatizo ya akili wewe
 
Nionyeshe hapa wapi nimesema "hakuna watu wana akili ( wasomi)
kama watu wa Pwani".... utakuwa una matatizo ya akili wewe
Kikubwa uelewe kwamba, kuwa kiongozi Tz sio ishara ya kuwa na akili hata wewe na huu ujinga wako unaoonyesha humu unaweza kupewa wizara bila shida yoyote.

Hiyo ndo point yangu, mengine yote unayonijibu ni sawa na kulazimisha mknd wako utafune muwa na sio kazi ulioumbiwa.
 
Msukuma ana akili kwasababu ana apartment zaidi ya 180 nchi nzima, sio nyumba...ni apartment! Ana migodi, ana mabasi nk. Wewe una nini? Cheti cha degree ndo unaona una akili? Nyie ndo wale mnaona kuwa na akili ni kuongoza darasani
Mzee inabidi u upgrade yourself, bado sana...😆😆
 
Kikubwa uelewe kwamba, kuwa kiongozi Tz sio ishara ya kuwa na akili hata wewe na huu ujinga wako unaoonyesha humu unaweza kupewa wizara bila shida yoyote.

Hiyo ndo point yangu, mengine yote unayonijibu ni sawa na kulazimisha mknd wako utafune muwa na sio kazi ulioumbiwa.
Umeshindwa kunionyesha niliposema watu wa Pwani wana akili nyingi umeishia kunitukana... halaf ndo wewe ni miongoni mwa watu wanajiona "wana akili nyingi"...
 
Correlation is not causation.
Correlation ziko nyingi kama hivi;
1.Nchi nyingi za waarabu, za jangwani, za Kiislamu zina mafuta na gesi
2.Nchi chache za Tropic ni maskini na nchi nyingi za Northeren pole kwenye baridi ni Tajiri
3.Nchi nyingi wanazokula Ngano badala ya ugali ni tajiri
You're right, except for our case, wamekuta a "causality relationship"again kasome utaona. Actually sio lazima ule samaki, hata Algae zina DHA, na kumbuka pia genetics ndio zinatengeza mazingira, 50-80% of your IQ
 
Back
Top Bottom