Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

EL For CCM Chairman 2012 and Eventualy CCM Presidential Candidate for 2015, We believe there is only one in CCM for 2015 and that is Laig'wanani Lowasa

Hilo likitokea basi itakuwa ni uthibitisho tosha kwamba Lowassa ndo mgombea wa urais kupitia CCM. Sina hakika kama JK atakubali hilo lifanyike, ila kwa kuwa aliwekwa na mafisadi, basi ni hao hao ndio wenye uamuzi wa kuendelea kumwacha hapo au kumtoa kabisa.

Mukama na JK wameishanusa hatari ya vua gamba na ndio maana sasa hivi wanaonekana ni kama vile wanaipotezea hoja ya kujivua gamba. Last time Mukama alisema hilo litafanywa na Kamati ya Maadili na Nidhamu, na may be matokeo yake yanaweza kuwa mwezi March na kuendelea. Kwa hiyo tusitegemee chochote mpaka labda baada ya uchaguzi wa ndani ya chama.

Kwa sasa kinachofanyika ni political calculations tu ili kuzuwia damage kwa Mkulu ili asije akapigwa chini uenyekiti au kupigiwa kura ya kuokuwa na imani.

Kuonyesha kwamba JK yuko scared, vikao vya CC siku hizi haviishi kujadili namna ambayo CCM inaweza kuwa independent ili isitegemee mifuko ya mafisadi. Too bad it is too late na sioni anachoweza kufanya maana wajumbe wengi wa NEC walipewa fedha za kifisadi ili kuweza kushinda chaguzi za ndani za chama na hivyo siku zote watabaki kuwa watiifu kwa mafisadi na sio kwa mwenyekiti.

Ninasubiri kwa shauku kubwa sana mabadiliko ya utaratibu wa uchaguzi wa ndani ya chama ili nione kama wataweza kuziba mianya ya mafisadi kuweka watu wao.
 
Off Topic Mkuu Pasco

Unaweza kuanzisha Thread ya Kumhusu Mtu aliyekuwa anaitwa James Mapalala? Yuko wapi sasa hivi na Ilikuwaje Hasikiki CUF pamoja na kwamba alikuwa mmoja wa waanzilishi wa CUF

Beki To Ze Point

EL for CCM 2015
Mkuu Albedo, umenikumbusha mbali, huyu Mzee James Mapalala ndie muasisi wa mageuzi!, 1979 baada tuu ya vita vya Kagera aliandaa petition, akaja kuwasainisha wazee wetu, masikini Nyerere akainyaka, akamsweka ndani indefinately enzi zile za 'preventive detention order'! Alipotoka ndipo akaanzisha CUF!.

Hivi sasa yupo tuu amejichokea na utuuzima, yuko pale nyumbani kwake Morocco opposite na nyumba ya Joseph Nyerere kile kinjia toka Morroco kuelekea ubalozi wa Marekani!.
 
SS is history!, ila nimegundua wewe ni mtu wa timu ya joka la mdimu, yule mzee wa kimbelembele, kujikomba komba komba na kujipendekeza!, ndugu yangu, lili ni boya tuu, sio tuu linaelea, bali halina hata kamba, hivyo litaperushwa hata na upepo!.

Joka la mdimu, kama ni mti, basi ni mpapai dume, haufai kwa kivuli, kwa kuni tena wala hauzai matunda!, sasa unataka kuulinganisha na kisiki cha mpingo!.

Welcome on board!.

Speculation ndio siasa zenyewe;

Nakuhakikishia EL hawezi kushinda..hana leadership qualities hadi sasa
 
"Sasa kinachoendelea, nadhani RO ni implant ya RA pale TISS hivyo they are not sure EL atanyamaza mpaka lini!, hivyo the only way ni au wamshughulikie au wampe anachotaka ambacho ni urais 2015!. JK ni powerless with nothing to do maana EL ndio kashika mpini mtake msitake, mkubali msikubali
El in this game, "this (EL) is the name of the game!."

Mkuu Pasco,
Uchambuzi mzuri umetupa katika kutukumbusha yale ambayo tunayajuaa. Na yale ambayo hatuyajui ni dhana kama hitimisho lako,"Unadhani Rostam" ndio kainfluensi kuwapo kwa Othmai TISS.
Je si Dhana hiyo hiyo kwamba Rostam alitumia Pesa kuwasambaratisha waliomsulubisha Lowassa? (kwanza Lowassa kasulubiwa au Kajisulubisha?).
Je Unweza kutupa Dhana ni Vipi huyu Mtengeza Wafalme (Rostam) anavyofanya kazi zake mpaka anafanikisha Malengo yake?(Anaopareti vipi?).
Alibaba, EL alisulubishwa na SS na genge lake, alivumilia ili kumkingia kifua best wake, alivyoanza kutukanwa mambo ya kuvua gamba!.

Sasa hili la jinsi anavyooparate, subirini kwanza mpaka tujue hatma ya EL, jf itafungwa bure!

Happy new year. 2012!
 
Theories on politics are allowed.. however do not be fooled...

By the way poilitcs means -poli-TRICKS

Atakayeshinda ni mwenye tricks nzuri; na EL hana tricks na tricks zake zote zina leak..so easily

Aliyekuwa anawasaidia kwenye ule mtandao ni JK kiasi kwamba aliweza kuwa lead (provide leadership qualities) hata trikcs hazileak na kuwa successfully with all odds and resistance from the within the party..

Mtandao wa EL hauna tena mtu makini ..wala mtandao wa sitta hauna watu makini..tricks zao zina leak easily (no leadership kama iliyokuwepo wakati wa JK)

Nani atachaguliwa hawezi kuwa EL wala SS; you will be surprised..

Mkuu Topical,

Naomba kutofautiana na wewe hapo kwenye tricks, nadhani trick muhimu ndani ya chama chenu ni matumizi ya fedha. Mtu yeyote mwenye fedha ndio mwenye nguvu na JK analijua hilo. JK anajua namna ambavyo fedha zilitumika kumfanya awe mgombea wa urais kupitia CCM na jinsi ambavyo fedha zilitumika kumfanya ashinde.

Hotuba yake ya kwanza kwa Bunge, aliahidi mambo mawili yanayoonyesha jinsi anavyoziogopa fedha. Moja, ilikuwa ni kuandaa mswada wa kutenganisha biashara na siasa [hilo ameshindwa maana ni gumu kwa kuwa linagusa vigogo wa chama chake]. Mbili, aliahidi kuandaa mswada wa gharama za uchaguzi ili kudhibiti matumizi makubwa ya fedha wakati wa uchaguzi. Japo alileta sheria lakini bado ni yeye mwenyewe aliyevunja sheria hiyo.

Sasa hivi anafikiria ni jinsi gani CCM itaweza kuwa independent ili kuondokana na kuwategemea hao wafanya biashara lakini bado hajapata jibu kwa kuwa ilishakuwa ni mfumo wa chama kuwatumia wafanya biashara.

Mgombea yeyote wa CCM ili ashinde lazima awe na fedha, na sio tricks. Wajumbe wa NEC na Mkutano Mkuu wa Chama ambao ndio wapiga kura wa kuteua mgombea urais wote kura zao zinanunulika tena kwa bei ndogo sana. So, whoever atakaye kuja na tricks bila ya mshiko, trick yake haiwezi kufanya kazi.

Wana CCM wengi wanaendekeza sana mafao na ndio maana inapokuja hoja tete huwa ni wazito sana kufanya maamuzi magumu kwa kuwa huwa wanaangalia kwanza maslahi.

Ndiyo maana watu wanasema JK hana nguvu ndani ya chama kwa kuwa aliingizwa kwa fedha na fedha zilizotumika hazikuwa zake au hakujua zilipatikana kwa njia zipi. Sasa hivi akina Mukama ndo wana hangaika kubadilisha mfumo wa uchaguzi ili angalau kuwadhibiti watu wenye fedha wasitumie fedha ili kujenga mitandao yao. Lakini bado nalo ni gumu sana kwa kuwa mafisadi wana mitandao kuanzia ngazi za wilaya mpaka mikoani!
 
Good points;

Matumizi ya fedha ili kushinda uchaguzi si tatizo la ccm tu, hili ni tatizo la taifa wananchi wengi kwa sasa wanapenda rushwa nilikuwepo kwenye uchaguzi sehemu walizoshinda chadema mfano ubungo ilitumika fedha nyingi sana kuhinga wananchi..

Kwenye uchaguzi wa ccm unaweza kutumia pesa kushinda ubunge lakini siyo u-Rais; JK hakuchaguliwa kwasababu ya pesa alizotumia; alichaguliwa kwasababu na leadership qualities na aliweza kutumia TRICKS (busara + akili) kujiandaa na hatimaye kushinda; mfano mtandao wa JK haujawahi kukosana na Mkapa, wala haujawahi kuikwamisha serikali ya mkapa kwa namna yoyote ile; lakini angalia kina EL, angalia kina SS wote wanaihujumu serikali for thier own gains wamekosa nini pamoja kwamba wana pesa -Leadership qualities...

Kwahiyo EL na SS hawana nafasi ya kupewa kura na wanaccm kwa hela wanazotoa NONE; itakula kwao kama kwenye ubunge wanaweza kujaza wabunge lakini urais hawawezi kabisa..usidharau TISS mkuu; utafikiri hawaipendi nchi ki-hivyo
 
Naomba MUNGU anipe uhai nishuhudie hili timbwilitimbwili. Kweli El ananguvu hata Pasco anamnadi hadharani? Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Pasco umeahidiwa nini? Ukuu wa Mkoa? Nasema hivi kwa mtoa mada Na kwa wote mliokwisha andaa Viongozi wemu 2015 kuwa Wananchi ndo watakaoamua, tumechoka Na nguvu ya mtandao Leo tunalia yatima ya maisha yetu.
 
Na ndio juhudi zinafanyika ili wanajeshi, askari, usalama wa taifa na wengine wote walio sehemu nyeti wapate elimu ya kutosha na kuacha kupokea amri ovu hata kama akili zao zinaona hivyo.]

wewe unajiona ndio umesoma na hao hawajasoma? mhhhhhhhhhh, wish ungejua............ usichokijua.................
 
Kwa mfumo wa TISS na utawala wa nchi ulivyo JK anajua kila kitu kinachoendelea kila siku. JK anaweza kuwa sehemu ya mtandao huo ama la. Kama rais mwenye busara ameamua kutojionesha yupo kundi/mtandao gani. Hii itamsaidia akae aangalie upepo kama alivyofanya mzee Mkapa pale 2005 jioni kabisa aliposema tuchague rais kijana (akimlenga JK).

It has been common knowledge kwa watu wa ndani kwamba ENL huwa anakuwa wa kwanza kupewa daily intelligence briefings za nchi; JKM huwa anazipata baadae;
 
Mr President,
1. Shein ni nani?

Shein hakushinda uchaguzi Zanzibar. Kilichofanyika ni Mkapa, Rostam, Karume kumhonga pesa za kutosha sana Maalim kupitia kwa kijana wao hatari sana Jussa (kumbuka huyu aliletwa na Rosatm ili umteue awe mbunge).

Ben baada ya kushinda, akashauriwa na sytem enzi za Abson, ambao ndio hao hao kina EL na RA, kuwa ni lazima awatumie kwenye cabinet yake, ili kuwaconsole wafuasi wao, kama walivyompa umakamo wa rais, Dr. Bilal, lengo ni kuwapooza tuu wafuasi wake kule Zanzibar ili wasipige kura ya chuki dhidi ya Shein ili kuiadhibu CCM.

!.

Pasco wa JF
Mleta mada anasema Shein hakushinda Zanzibar.
Wewe ulipoandika ni kama CCM walishinda uchaguzi Zanzibar kwa sababu watu wa Bilal hawakupiga kura ya chuki dhidi ya Shein.

Liweke wazi hili kama unalijua. Je Shein alishinda uchaguzi? Au ushindi wa Shein, CCM ni wa kununua/ kutoa rushwa?
 
What happens when you pull out your 9 inch in the mens room......from there onwards what ever you touch is cursed, especially with a mind of a limited 6 inch cyling......

Its sad to see someone's trying to play the "last dick standing" with the lives of many....

African politics....all about names and faces and not principles....

Fine...lets pull dem up!!!!....uupps its so huuuuge!!

HAPPY 2012 though!!
 
Lakini jamani mimi nashindwa kitu kimoja... JK anakuwa na wasiwasi gani ikiwa mwisho wake ni Dec 2014..Huyu EL atamfanya nini na propaganda zote hizi ikiwa siii yeye anaandaliwa na JK mapema ktk kumsafisha..Mimi inaiuwia vigumu sana kuamini JK na EL wana ugonvi na tena kasema zaidi ya mara 5 kwamba yeye na JK hawakukutana barabarani akijibu hoja nzito ambazo watu wanataka afikishwe mahakamani.

Na kama tunavyosema leo hii CCM hakuna msafi na kama yupo basi yupo ktk nafasi ya ombaomba yaani hana hatari yoyote kwa mtandao lakini siwezi kuamini maneno haya mengi ya kumwonyesha EL ni msafi ati JK ndiye siye msafi. Mimi nawajua wote waliokwenda Houston tena toka wakati Mkapa anajiandaa kuondoka ikiwa mipango tayarishi ya kushika madaraka.

Kundi hili lilitaka kushika commanding Heights zote toka Simu, Umeme, maji, habari, jeshi na TISS ili nguvu yote ya dola wanayo mkononi na uwezo wa kuendesha Udikteta.... Ahadi ya kutengeneza mabillionea 100 kabla ya mwaka 2012. Na kwa bahati mbaya hili la Richmond ndilo lilopasua jipu lakini JK hakuanza Ufisadi akiwa rais bali kabla kabisa akiwa waziri wa nishati kukusanya mtaji wa kugombea urais 2005..

Kwa hiyo maadam leo kundi la Mkapa limekuja ungana na kundi la JK kinachofanyika ni kumsafisha EL tu, na walijua fika kama EL atatamka maneno yake mbele ya NEC watu wote watagwaya kwa sababu ndani ya CCM hakuna mtu anaweza kumnyooshea kidole JK.. Hizi habari za Impeachment hatujawahi kuwanazo na wala hazitatokea unless sii kwa maslahi ya chama...Huyyo Nnauye mwenyewe makende yalimshuka baada ya EL kumuuliza JK wengine walibakia na butaa.. ukumbi kimyaaa wakisubiri JK atajibu nini..Na JK alilitegemea swali hili wala msidanganyike na wacheza sinema ktk tisha toto.

Aliyekuwa kitimoto ni Lowassa, JK kama Presidaa angeweza kabisa kusema kweli aliwaagiza wanunue mtambo huo lakni sii kazi yake kufanya uchunguzi na uimara wa mitambo hiyo - mkataba faki au sio faki, mtumba au mpya... na kweli sii kazi yake..mangapi tumemsafisha sisi wenyewe. Mbona tumeliwa ATC, tumeliwa RITES, tumeliwa MEREMETA, KAGODA na kadhalika lakini maadam mkuu wa kaya ndiye mhusika mkuu tumeshindwa fanya lolote kwa sababu Katiba inamlinda na hatuna utamaduni wa Kum impeach mkulu..tena mkileta za kuleta anavunja bunge na baraza la mawaziri mtamfanya nini?..Jamani, rais ana nguvu kubwa sana msifanye mchezo!

Mimi najua fika kwamba EL anaandaliwa kwa sababu katika kambi ya Mafisadi hawana mtu wa uhakika na wa kuaminika isipokuwa yeye. Hakuna mtu ambaye anaweza kuzuia joto la jiwe kwa scandals zote kuwalinda toka kina Mkapa hadi hawa wapya isipokuwa yeye. Na hao wengine wote mnaofikiria ni wanachama tu walojiunga na kambi lakini hawana inside info za cartel hii. Na hiyo kambi ya Mkapa haiaminiki kwa sababu wameingia tu baada ya kubanwa wao, haijulikani kama hawatapindua kibao.

Na kuhusu Zanzibar wakuu zangu mambo yote yanafanywa na Baraza la Mapinduzi, wao pia wana matatizo lakini baada ya muafaka ulopita baraza hilo leo ni imara zaidi ndio maana hata ktk muswada wa katiba mpya tumetakiwa tusiliguse kama wao ndio walinzi wa Mapinduzi japokuwa leo hii ni Jamhuri ya Tanzania yenye mamlaka hayo.

Hizi ndio siasa za Bongo, siasa za makundi na vijiweni na hapendwi mtu isipokuwa kwa rangi zake...Ila nasubiri sana kwa hamu kuona migogoro hii ndani ya NCCR na CUF itafikia mwisho gani na pengine kuna uwezekano mkubwa wa wapambanaji haswa kutoka vyama hivi kuunda nguvu moja na Chadema ama kwa makosa kuunda chama chao ambacho kitakuja mweka EL Ikulu bila kutumia nguvu kubwa - Wapinzani watajimaliza wenyewe.
 
Naomba MUNGU anipe uhai nishuhudie hili timbwilitimbwili. Kweli El ananguvu hata Pasco anamnadi hadharani? Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Pasco umeahidiwa nini? Ukuu wa Mkoa? Nasema hivi kwa mtoa mada Na kwa wote mliokwisha andaa Viongozi wemu 2015 kuwa Wananchi ndo watakaoamua, tumechoka Na nguvu ya mtandao Leo tunalia yatima ya maisha yetu.
Remmy, laiti ungemjua huyo Pasco mwenyewe kiukweli, na kumuangalia kama amekaa kimkuu wa mkoa, usingesema!.
Amini nawaambieni, japo EL ni reachable kwangu, sijawahi kupokeahata sentano yake!. Kila nikienda Dodoma, hufika hoteli fulani ambayo RA ndio sebule yake, huwa halii dining, anayosehemu yake imetengwa maalum kwa ajili yake na wageni wake wakiwemo wale walamba miguu wake, kuna siku nilikaribishwa na mimi kula nao, nilipouliza bili, mhudumu akaniambia wote wanaokaribishwa kula humo kwenye hiyo special room, hula bure na kunywa bure, bili hulipwa na mkaribishaji (RA), nilichofanya, nilicheki bei ya menu yangu, nikaenda kulipa kule counter, nikarudi kwenye ile room na kumshukuru RA kwa kunikaribisha, ila pia nikamuonyesha risiti kuwa asijumlishe chakula nilichokula mimi, kwani nimeisha jilipia!. Akasema no no no, huwezi kujilipia wakati nimekukaribisha mimi!, nikamwambia asijali, thanks na kujiondokea zangu!.

Sababu iliyonifanya nijilipie, kuna issue nilimuuliza kuhusu jf, aligeuka mwekundu ndipo ikafikia mpaka kunikaribisha chakula ili tumalizie mazungumzo yetu, nikakubali!. Kwa vile najua wengi wa waandishi wetu ni njaa kali na wengine wanaendekeza hiyo njaa, nilijipilia kumthibitishia mimi si miongoni mwa waendekeza njaa!. Kuna issue alinipa na humu jf jioni yake nikamlipua!. Ningekula offer yake, ningekuwa mtovu wa shukrani, kazi yangu ingegeuka kumuimbia mapambio tuu!.

Hili la utetezi wa Lowassa nalifanya kwa dhati, toka moyoni mwangu, kwa mapenzi tuu ya nchi yangu!. Nimekiri mara kibao, kweli Lowassa ni mwizi kama mijizi mingine yote ya CCM!, na kweli Lowassa ni fisadi kama mafisadi wengine wa CCM!. Kwa wengi, dhambi kubwa ya Lowassa ni Richmond, na hapa ndipo ninaposimama kweli ukweli, zigo la Richmond, Lowassa kajitwisha tuu, ili kumbebea mtu! na malipo yake ni urais wa 2015!. Hapa tunachagiza au apewe, au alitue zigo na mwenye zigo lake alibebe!. Yaani
"kila mtu ...
Atauchukua ..
Mzigo wake mwenyewe"!
 
Lakini jamani mimi nashindwa kitu kimoja... JK anakuwa na wasiwasi gani ikiwa mwisho wake ni Dec 2014..Huyu EL atamfanya nini na propaganda zote hizi ikiwa siii yeye anaandaliwa na JK mapema ktk kumsafisha..Mimi inaiuwia vigumu sana kuamini JK na EL wana ugonvi na tena kasema zaidi ya mara 5 kwamba yeye na JK hawakukutana barabarani akijibu hoja nzito ambazo watu wanataka afikishwe mahakamani.

Na kama tunavyosema leo hii CCM hakuna msafi na kama yupo basi yupo ktk nafasi ya ombaomba yaani hana hatari yoyote kwa mtandao lakini siwezi kuamini maneno haya mengi ya kumwonyesha EL ni msafi ati JK ndiye siye msafi. Mimi nawajua wote waliokwenda Houston tena toka wakati Mkapa anajiandaa kuondoka ikiwa mipango tayari ya kushika madaraka.

Kundi hili lilitaka kushika commanding heights zote toka Simu, Umeme, maji, habari, jeshi na TISS ili nguvu yote ya dola wanayo mkononi na uwezo wa kuendesha Udikteta.... Ahadi ya kutengeneza mabillionea 100 kabla ya mwaka 2012. Na kwa bahati mbaya hili la Richmond ndilo lilopasua jipu lakini JK hakuanza Ufisadi akiwa rais bali kabla kabisa akiwa waziri wa nishati kukusanya mtaji wa kugombea urais 2005..

Kwa hiyo maadam leo kundi la Mkapa limekuja ungana na kundi la JK kinachofanyika ni kumsafisha EL tu, na walijua fika kama EL atatamka maneno yake mbele ya NEC watu wote watagwaya kwa sababu ndani ya CCM hakuna mtu anaweza kumnyooshea kidole JK.. Hizi habari za Impeachment hatujawahi kuwanazo na wala hazitatokea unless sii kwa maslahi ya chama...Huyyo Nnauye mwenyewe makende yalimshuka baada ya EL kumuuliza JK wengine walibakia na butaa.. ukumbi kimyaaa wakisubiri JK atajibu nini..Na JK alilitegemea swali hili wala msidanganyike na wacheza sinema ktk tisha toto.

Aliyekuwa kitimoto ni Lowassa, JK kama Presidaa angeweza kabisa kusema kweli aliwaagiza wanunue mtambo huo lakni sii kazi yake kufanya uchunguzi na uimara wa mitambo hiyo - mkataba faki au sio faki, mtumba au mpya... na kweli sii kazi yake..mangapi tumemsafisha sisi wenyewe. Mbona tumeliwa ATC, tumeliwa RITES, tumeliwa MEREMETA, KAGODA na kadhalika lakini maadam mkuu wa kaya ndiye mhusika mkuu tumeshindwa fanya lolote kwa sababu Katiba inamlinda na hatuna utamaduni wa Kum impeach mkulu..tena mkileta za kuleta anavunja bunge na baraza la mawaziri mtamfanya nini?..Jamani, rais ana nguvu kubwa sana msifanye mchezo!

Mimi najua fika kwamba EL anaandaliwa kwa sababu katika kambi ya Mafisadi hawana mtu wa uhakika na wa kuaminika isipokuwa yeye. Hakuna mtu ambaye anaweza kuzuia joto la jiwe kwa scandals zote kuwalinda toka kina Mkapa hadi hawa wapya isipokuwa yeye. Na hao wengine wote mnaofikiria ni wanachama tu walojiunga na kambi lakini hawana inside info za cartel hii. Na hiyo kambi ya Mkapa haiaminiki kwa sababu wameingia tu baada ya kubanwa wao, haijulikani kama hawatapindua kibao.

Na kuhusu Zanzibar wakuu zangu mambo yote yanafanywa na Baraza la Mapinduzi, wao pia wana matatizo lakini baada ya muafaka ulopita baraza hilo leo ni imara zaidi ndio maana hata ktk muswada wa katiba mpya tumetakiwa tusiliguse kama wao ndio walinzi wa Mapinduzi japokuwa leo hii ni Jamhuri ya Tanzania yenye mamlaka hayo.

Hizi ndio siasa za Bongo, siasa za makundi na vijiweni na hapendwi mtu isipokuwa kwa rangi zake...Ila nasubiri sana kwa hamu kuona migogoro hii ndani ya NCCR na CUF itafikia mwisho gani na pengine kuna uwezekano mkubwa wa wapambanaji haswa kutoka vyama hivi kuunda nguvu moja na Chadema ama kwa makosa kuunda chama chao ambacho kitakuja mweka EL Ikulu bila kutumia nguvu kubwa - Wapinzani watajimaliza wenyewe.
Mkuu Mkandara, there are much more than met the eyes!, wait and see, utazidi kushangaa!
 
Mkuu Mkandara, there are much more than met the eyes!, wait and see, utazidi kushangaa!
Haya mkuu nakukubali maana ktk sakata la muswada kusema kweli sikutegemea kama JK ataweka sahihi kama ulivyosema na akaweka siku ile ile ulosema - Upo jikoni, nami naagiza nikiwa mezani, kiungo kilichowekwa ndani wala siwezi kijua zaidi ya kile nachokiona na kuonja..
 
Mkuu Mkandara usitake kunipasua bichwa!. Mimi siko jikoni, mimi ni mtoto wa mtaani ila tuu ni trend reader mzuri, japo nilisoma LL.B ila 1st DS niliibamiza sana!, kwa kifupi nilitakiwa nifanye sociology, or political admin, bali nilichukua law kwa sababu ya hasira fulani tuu, mimi ni mpenzi wa psychology hivyo JK nimeshamuanalyse na pre meditate his next moves, ana bahati alisoma UD enzi za mwalimu, kulikuwa hakuna DISCO Vinginevyo...!. Basi tuu wee acha, huwezi amini sasa anamuogopa EL kama kunguru!, lazima ambelezee uteuzi vinginevyo jamaa anamwaga mboga!.
 
HAPPY 2012 though!!
Na wewe pia, nimekuona uko Toronto, mimi nina bahati mbaya sana na miji ya wazungu, nilijaribu maisha DC, nikakaacha kabinti kangu pale DC, ile kurudi tuu home, nikasikia wananitunzia!. Nikaja Toronto na kabinti kengine, kufumba kufumbua, nacho wananitunzia, nikaona bora nijirudie tuu huku kijijini kwetu ndiko nilikotulia mpaka sasa!

Happy New Year wote!
 
Lakini kaBinti ka hapa Toronto hakaishi kukuzungumzia..Kheri ya mwaka Mpya!
 
Lakini kaBinti ka hapa Toronto hakaishi kukuzungumzia..Kheri ya mwaka Mpya!
Asante, you made my day!, hata mimi moyoni hakatoki!, tatizo ni kutunziwa tuu ila ...ya dhati hayaishagi!, na kuna kipindi nilidhamiria kukaibukia ile idea ya kuja kuwa house husband sikuipenda, ila this year nitapita kusalimia!.
Thanks!
 
Back
Top Bottom