DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,679
mmmm!sasa hili debe lako kwa lowassa mzee halivumiliki...ni wazi na wewe unatumiwa,jana ulikuja kiujanja na ukafanikiwa kuwateka baadhi yetu humu lakini leo kwa maandishi yako haya licha ya kuyaanda kitaalum mi naona niwe wa kwanza kuyatilia shaka,ila tu nikukaribishe kama wapiga debe wengine wa lowassa humu,eti tukienda kwenye vijiwe vyetu vile vya jioni tusiomuongelee vibaya jamaa!!!!vitisho vya kitoto kweli katika karne hii kuweza kuwaingia watu na wakatishika kweli!
eti walitaka dr slaa ashinde,huo ni uongo,kilichopunguza kura za ccm ikiwemo ya kwangu sio ushawishi wala maarifa ya lowassa na genge lake bali ni kitendo cha ccm kuonekana wanawakumbatia mafisadi kina lowassa,rostam na wengine na kuonekana wanapambana na wapinga ufisadi samuel sitta na genge lake,huo ndio ukweli,mengine uliyoandika ni upotoshaji,nimeona nikuvae baada ya kuona wengi wanakuogopa na kuamini kila unaloshawishi hapa!
Du Mdau wewe unaishi Tanzania ipi ambayo tayari maeneo unayoyazungumzia na vijiwe muhimu vyenye story za kitaani kuhusu siasa za Watanzania watetezi wa EL wamejaa tele tena wanajaziba kama nini.Tena like Swala la JK kukaa kimya pasipo kujibu swali la EL kwenye mkutano Dodoma uwa ndio kimbilio lao.Wakikuta huna foundation ya uelewa wa siasa za bongo watakupelemba wewe mpaka utaaanza kuwa kasuku wa ushuhuda wa RICHMOND na DOWANS kuwa ni swala la JK na sio yeye.
Hakika ndio hwajui ni kwanini JK alikaa kimya na kuishi ku guna kwa ishara ambayo kama ni mtu mwenye busara na unajua story za historia ya mchezo huo,basi kukaa kimya kwa JK ni dalili ya ukomavu kuwa anajua utu uzima dawa.
Manake picha hii ya JK kukaa kimya huko Dodoma uwa naifananisha na kama umeenda a mtoni unaoga kisha mwendawazimu anakuja na kuchukua nguo zako na kuamua kukimbia nazo,basi kwa muungwana itabidi kuchutamana [Kukaa Kimya] na kumuacha mwendewazimu kusepa na viwalo vyako,uku ukisubili wapita njia kuja kukuepusha na aibu ya mwendawazimu huyo.Vinginevyo ukiamua kumkimbiza [Payuka] basi tofauti haitabainika wazi nani ni mwendawazimu kati yenu wawili.
Michezo michafu uondolewa kwa mbinu kali zenye kuitaji ustadi mkubwa na si kukulupuka.Mfano wa mbinu hizo ni zile alizotumia Mwalimu mwaka 1995.Bahati mbaya safari hii the Court Break Became a Court Breaker.Hivyo kwa kujua kuwa mwalimu alitumia UWT kumsimamisha ndoto zake ikabidi awajenge yeye mwenyewe,ingawa kwa kazi yao yote kama ni dhahiili wanajua na kufuata maadili ya kazi na si ufahari wa kidunia si ajabu kwa baaadhi yao pia wako kazini muda tu unasubiliwa kama ule wa THERE IS A WISH AM GOING TO GRANT!!!!!!!!!!! na Mara nyingi Idala za aina hiyo uwa makosa mwiko.
