tatizo lako wewe mama unakurupuka sana ..Hoja zako zina mkanganyiko ndugu yangu. Kuwa Agent wa CIA hakuhusiani na nguvu zako kwenye jamii iliyokuzunguka. Ukitaka kuijua CIA vizuri jiulize ni kwa nini inakusanya taarifa za chumi za nchi mbali mbali duniani, leo hii CIA wana taarifa zaidi za Tanzania kuliko hata idara yetu ya takwimu. Zakhia siyo tu RA hata Msaidizi wa Jakaya Omary Luwhavi alishawahi kumlamba. lakini Zakhia ana Impact gani kwenye maslahi ya RA, alisema ndiyo ndani ya CC, tangu aseme alichosema KIMETOKEA nini hadi sasa baada ya yeye kusema?
unataka kusema hutaki unaacha ndiye mtoa habari?
kwa jinsi anavyoandika hasa ukiwa ulianza kuisoma ile thadhari aliyoileta hapa kumpa membe awe careful,huyu ni msomali wa nzega!najua aina ya uandishi na maneno anayopenda kuyatumia!
Tanzania is the 3rd leading recipient of development AID in the world behind Afghanistan and Iraq. T Tanzania is also 3rd leading Gold producer in the world, yet remains poor.
Hoja zako zina mkanganyiko ndugu yangu. Kuwa Agent wa CIA hakuhusiani na nguvu zako kwenye jamii iliyokuzunguka. Ukitaka kuijua CIA vizuri jiulize ni kwa nini inakusanya taarifa za chumi za nchi mbali mbali duniani, leo hii CIA wana taarifa zaidi za Tanzania kuliko hata idara yetu ya takwimu. Zakhia siyo tu RA hata Msaidizi wa Jakaya Omary Luwhavi alishawahi kumlamba. lakini Zakhia ana Impact gani kwenye maslahi ya RA, alisema ndiyo ndani ya CC, tangu aseme alichosema KIMETOKEA nini hadi sasa baada ya yeye kusema?
Habari hii inatosha kuwa kitabu na mtu akawa tajiri tosha.
Zakhia mwanzoni kabisa alionekana atakuja kuwa Iron Lady wa Tanzania kumbuka jinsi alivyodili na mafuriko ya Moshi (akiwa mkuu wa Wilaya) lakini kuna wakati huyu mama wakubwa "walimchezea" sana hadi ikawa hakuna jinsi bali kumwacha 'afunzwe' na dunia. Na maisha yake pale Chuo cha Ushirika Moshi hayakuwapendeza baadhi ya watu!!
mkuu basi hata uni pm kama huwezi taja watu hapa
Kuna tofauti kati ya kutii amri na heshima. Unaweza kutii amri ya mtu hata kama humheshimu!
Ed manake Edson na HU manake Hutaki Unaacha.Vipi umeona maadishi ya kichina.
Mmhhh yangu macho...nashuhudia makubwa ya dunia hii..unajikanganya mwenyewe kwa sababu umeshaingizwa kichwani vitu vya bwana HUTAKI UNAACHA,na ni ngumu kuvitoa au mtu kukubadilisha!nilichokuwa naki challenge ni upotoshaji wa kutaka kuonyesha kwamba eti rostam analolitaka huyo bwana mkubwa rostam liwe kwenye political arena ya nchi yetu linakua,ndio nikatoa huo mfano wa jimbo "lake" la igunga.
Kuhusu nini kimefanyika toka da zakhia amvae rostam kwenye cc(kitu ambacho hakikuwahi kutokea abadan kabla ya siku ile)ni Rostam kutoswa nec(zakhia bado yumo),na baadae Rostam kujivua gamba japo siku ile alimfuata zakia na kumtishia kwamba sijui atamfanya nini na nini,lakini hakuna hata kimoja kilichotokea!kama yote hayo huyatazami kama impact basi kuna kuna tatizo hapo!
Swala ni hilo? What is the issue here? kwa nini watu wanfikiria kaundika makala za hivi na wetu wengi wanazikubali?
Jibu hiyo hoja, usiseme tu unajua CA wanavyofanya kazi. wanaanzia kwenye nchi isiyo na mwelekeo
.....watachukuaje wakati mpango mzima Lubuva tayari yupo ku-accomplish mission?Sasa kama chadema watachukua nchi 2015 hali itakuwaje? Hawa jamaa wataenda wapi?
Hii nasikia ni kweli na wakati ule SHIMBO alipokutwa na TRILIONI KADHAA nasikia alipoona KIKWETE hataki kumchukulia hatua SHEMEJI yake jamaa alienda kwao na alisusa kila kitu na amini usiamini NCHI hali ilikuwa tete na ni mwezi uliopita tu STAND BY imeisha kwani jamaa haeleweki na wana JERSHI wana muunga mkono na ku mkubali sana MWAMUNYANGE.
.........ndugu yangu bongo hii kila mtu siku hizi ni mganga njaa, hebu jiulize uzalendo tuiliokuwa nao kama taifa umepotelea wapi!!! katika mabadiliko ya uzamadamu, pengine hapa tulipo ni hatua mbaya zaidi na tuombe tubadilike haraka kwenda hatua ya mbele pengine yaweza kuwa productive, vinginevyo tumekuwa kama mizinja-thropus matendo ya akili zetuUmesema vyema mkuu,Jeshini hakuna dharau kwa mkubwa ni heshima kwenda mbele hata kama umemzidi elimu.Haya mambo tuyachambue kwa umakini.Tuchuje pumba na kuziweka pembeni ili tubaki na ngano safi itakayotusaidia kusonga mbele.
Lakini kusema ukweli kwa miaka ya hivi karibuni TISS imeonyesha udhaifu mkubwa tangu kuondoka kwa marehemu Imran Kombe.At least alionyesha umahiri wa kuiongoza idara hii muhimu kwa usalama wa Taifa letu.Waliofuata baadae ni kama JK wameonyesha udhaifu mkubwa wa Uongozi mpaka sasa tunaingiliwa na maajent wengine mpaka jikoni.
Ufike wakati tuseme imetosha na tuiboreshe Idara hii kwa maslahi ya Taifa kwa ujumla.RA na EL na genge lao ni watu wa chache sana kusumbua akili zetu.