Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Asante kwa a very informative thread. :A S cry:Ukarimu wa watanzania unatutokea puani. Hivi mtanzania anaweza kuupata uraia wa Iran baada ya kuishi miaka mingapi huko? Uraia wa Rostam hapa Tanzania ameupata je? Kwanza tujiulize wale watumwa kutoka Afrika Mashariki waliopelekwa uarabuni waliishia wapi? Merikani kuna watu weusi wengi waliokwenda huko kama watumwa where is the diaspora in the Middle East? Rostam is a very fake citizen na ni uzao wa MAGAMBA kazi kwao !!!!!! But let's see how are we to get out of this mess nimechoka kabisa.
 
"It is amazing...the world is no longer the good place to live" Imewezekana kabisa mambo haya kufanyika kwa muda wote yasijulikane mapema na kuzuia "mission isitimie kweli! usalama wetu wapo kweli jamani? Hayo maneno kwenye RED yameni tisha sana!

Mr President, unawafahamu waliokuwa nyuma ya mchezo huu? Basi hao hao kwa miaka mingi wangekwishakumaliza lakini Edward alionekana "kukupenda’" zaidi na yeye amekuwa akiwawekea ngumu yaani kukulinda lakini kwa bahati mbaya sana, amewakubalia hivyo kufanya ‘‘game’’ kuwa kali. Edward anaweza kukulinda baadaye. Lakini hutaweza kufanya biashara yeyote ile na waweza kubaki na "njaa" kali sana baada ya kustaafu. ‘‘Game’’ hii ni hatari kwasababu lazima imuweke Karume kwenye nafasi za juu za uongozi wa taifa hili 2015. Mh Rais naomba umuulize Mama Maria Nyerere akwambie vitisho alivyopewa na Karume na Mkapa kuhusiana na mwanaye makongoro wakati wewe unaendesha kikao cha NEC. Hata hivyo ni vizuri ukajiuliza swali la kitoto kama hili: Je ni kwanini Karume na wenzake walikushinikiza sana umteue Tom Apson kuwa mbunge wao wakikudanganya kwamba Tom amefanya kazi nzuri ya kuiba siri za Apson na malecela na wengine? Think twice Jakaya!...
Kumbe waswahili walisema kweli "usilolijua ni sawa na usiku wa giza!"

Mr President, muulize Othman akueleze ukweli kwa kuwa hili alilifahamu ingawa hajui ni kwanini lilitokea. Kumbuka vizuri wakati Bush amekuja Tanzania. Kule Arusha, viongozi wa makampuni makubwa yanayomiliki migodi mikubwa ambayo Bush, US na CIA ina maslahi nayo kutoka karibu kila kona ya dunia walikusanyika na walielezea ni kwanini biashara haiendi vizuri. Hakuna mtanzania yeyote Yule hata Deo aliyehudhuria except Rostam. Nani alimwalika na alihudhuria akitokea wapi?! Pale waliazimia mambo makubwa na ya hatari sana. Rostam anajua vizuri what happened na maazimio yale yalilenga nini.


Kwahiyo ndo tuseme wamarekani wanatuinjoy tu na kusubiri muda wao wa kazi ufike wakamilishe "Mission" yao? usalama wa Taifa hili uko wapi?
 
Kikwete, woga wa njaa kali akitoka kwenye Uraisi na zaidi zaidi Lupango, ndio kunamfanya awe Dhaifu kwenye kutoa maamuzi magumu. Hana lolote.
 
Hii thread huwa sichoki kuisoma maana nimetokea kuiamini tu!
 
Wewe hujiulizi ni kwa nini Nyalandu alisema USA wanataka yeye awe Rais 2015. Nani alimwambia kwamba USA wanamtaka kama hakuambiwa na mtu wa CIA. Just connect the dots!!

hii ni moja ya kauli zilizowahi kuniacha hoi baada ya kuisoma kwenye gazeti,yani us ina decide who should rule/lead this country,worse enough aliekua mentioned he is so proud of it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…