Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Mchonganishi Emanuel NchimbiNimerudia rudia hotuba za JK katika msiba wa Lowasa, hakuna mahali kasema alienda kumsalimia Lowasa akiwa anaumwa.
Ni Lowasa mdoye alimpa JK urais, Lowasa anaumwa JK hajatia mguu hospitali.
Je marafiki zako unawaamini kiasi gani, na umejifunza nini kwa usaliti aliofanyiwa Lowasa?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app