Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Kwanza huo ni uchawi,ukiachilia mbali JK kwani hotuba za viongozi wengine wamesema kuwa walienda kumuona mgonjwa?

Wewe unajuaje kama JK hajaenda kumuona mgonjwa?namna ambvyo Lowasa amekuwa anauguzwa familia yake imemaintain privacy,that's why hujaona picha zozote za Lowasa akiwa anaugua au watu wakipiga nae picha hata family yake alipokuwa anaugua.

Pili, unaposema Jakaya kahusika kumuua labda Kwa sababu za kisiasa,na hao Kina Nyerere ambao walimkata Jina lake miaka hiyo utasemaje?Hizo ni siasa,hata Raila Odinga anachanga karata zake kila awamu ili awe Prezoo,siasa Zina consequences zake,siyo kila unachopanga lazima kiwe,Urais Mungu anapanga,hata kifo pia.

Tatu,unasema kifo Cha Mkapa na Magufuli anahusishwa navyo how?

Huo ni uchawi,na mchawi kule kwetu lindi dawa yake ni kupigwa Tigo tuh...
Mkuu hiyo mijitu ni mipumbavu aisee, dah!!
 
Mzimu wa Lowassa utamtesa sana Jakaya,kwani bila kupepesa maneno,mateso,madhira aliyoyapata Lowassa yana mkono wa Jakaya.hata akatae namna yoyote ile,dunia na watanzania karibu wote wanafahamu hilo.

Hata kifo cha Mkapa na Magufuli anahusishwa pia,hii si nzuri kwa afya ya akili yake,

Rejea Blaise Compore alichomtenda Thomas Sankara
HAMNA LOLOTE !!!!!! ACHA UPOTOSHAJI MR Troiker.
 
Bora nijionee huruma mm sina hata gari kuliko kumwonea huruma mtu mwenye kila kitu kasoro urais
 
Ngoyai was a wildcard

Jpm was intentionally placed there

And ccm's were exactly knowing what they were doing from 2008, 2015

And chadema knew exactly what they did 2015 ( I mean few of them)

They make us look like lowassa was betrayed

Anyways luwasa funeral saga reminds me of game theory in politics

What a wild card ccm had !

Rip
 
Nimerudia rudia hotuba za JK katika msiba wa Lowasa, hakuna mahali kasema alienda kumsalimia Lowasa akiwa anaumwa.

Ni Lowasa ndye alimpa JK urais, Lowasa anaumwa JK hajatia mguu hospitali.

Je, marafiki zako unawaamini kiasi gani, na umejifunza nini kwa usaliti aliofanyiwa Lowasa na JK?
Lowassa alimpa Jk Urais ila akashindwa kujipa Urais

Poleni sana kwa Mtihani wa akili unaowakabili
 
Back
Top Bottom