Kwanza huo ni uchawi,ukiachilia mbali JK kwani hotuba za viongozi wengine wamesema kuwa walienda kumuona mgonjwa?
Wewe unajuaje kama JK hajaenda kumuona mgonjwa?namna ambvyo Lowasa amekuwa anauguzwa familia yake imemaintain privacy,that's why hujaona picha zozote za Lowasa akiwa anaugua au watu wakipiga nae picha hata family yake alipokuwa anaugua.
Pili, unaposema Jakaya kahusika kumuua labda Kwa sababu za kisiasa,na hao Kina Nyerere ambao walimkata Jina lake miaka hiyo utasemaje?Hizo ni siasa,hata Raila Odinga anachanga karata zake kila awamu ili awe Prezoo,siasa Zina consequences zake,siyo kila unachopanga lazima kiwe,Urais Mungu anapanga,hata kifo pia.
Tatu,unasema kifo Cha Mkapa na Magufuli anahusishwa navyo how?
Huo ni uchawi,na mchawi kule kwetu lindi dawa yake ni kupigwa Tigo tuh...