Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Mchonganishi Emanuel Nchimbi

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Halafu kuna LINAFIKI moja juzi, lizee hivi, eti linasema ukiacha Nyerere mwanasiasa aliyefuata kwa kuwa na ushawishi katika kipindi cha miaka 40 iliyopita ni Lowassa. Dah, yaani aibu niliona mimi aisee!
 
Aya ya mwisho umedanganya. Walikuwa mahasimu wakubwa kiasi cha Lowasa na JK kutowasiliana.

Emanuel Nchimbi alijaribu kumrubuni Lowasa ajishushe apatane na JK, lakini Lowasa alikataa kabisa.

Msikilize JK kwenye maneno yake. Hapakuwa na mawasiliano kati yao. Kwa Membe alisema waliongea kwa simu. Kwa Magufuli alisema alipewa taarifa ya kifo. Ni mnafiki kama wazungu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Yaani jana kikwete kaongea sifa kibao za Lowassa wakati anahojiwa na wanahabari , comments za wananchi sasa nadhani leo ndio maana wakati wa kuaga kufunga mdomo hajaongea kabisa..
Hakuona haja ya kurudia yale aliyokwisha kuongea (na alilisema hili), lakini si kwa sababu ya kuogopa hizo comments za hivyo viwananchi vichache vyenye njaa na uchawi.......jk ni mwamba wa siasa hastushwi wala hagadhibiki na viwatu kama hivyo. Alitukanwa na wanafunzi mara kibao (wa vyuo vikuu) lkn ndo kwanza aliwapigania kwz kuwapa hela zaidi za kujikimu na baadae kuwaajiri kabisa. Wengi wa watukanaji wake wa sasa ndo hao.
 
Nongwa

Nawewe mleta mada mbona hujatoa pole kwa wafiwa?

Unajua kabisa familia imeondokewa na mpendwa wao ila hamna sehemu yoyote umetoa pole kwa ndugu wa marehemu? ni haki kweli hii, mbona huna uungwana na utu ndugu mtangazaji?


Hicho nimeandika hapo juu hakitofautiani sana na tuhuma zako kwa JK.
 
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza huo ni uchawi,ukiachilia mbali JK kwani hotuba za viongozi wengine wamesema kuwa walienda kumuona mgonjwa?

Wewe unajuaje kama JK hajaenda kumuona mgonjwa?namna ambvyo Lowasa amekuwa anauguzwa familia yake imemaintain privacy,that's why hujaona picha zozote za Lowasa akiwa anaugua au watu wakipiga nae picha hata family yake alipokuwa anaugua.

Pili, unaposema Jakaya kahusika kumuua labda Kwa sababu za kisiasa,na hao Kina Nyerere ambao walimkata Jina lake miaka hiyo utasemaje?Hizo ni siasa,hata Raila Odinga anachanga karata zake kila awamu ili awe Prezoo,siasa Zina consequences zake,siyo kila unachopanga lazima kiwe,Urais Mungu anapanga,hata kifo pia.

Tatu,unasema kifo Cha Mkapa na Magufuli anahusishwa navyo how?

Huo ni uchawi,na mchawi kule kwetu lindi dawa yake ni kupigwa Tigo tuh...
 
Umeongea kitu muhimu sana chief. Ukinipga umenionea ukiacha umeniogopa
 
Mimi sioni ubaya wa kutisha aliofanyiwa ENL na JK ukilinganisha na ule aliofanyiwa na JPM ambapo alifilisiwa karibu kila kitu mpaka aliposalimu amri na kurudi CCM.
JK kumkatalia ENL asiwe mrithi wake kwenye Urais, alifanya jambo la maana!
Vinginevyo urais ungekuwa wakupeana kishikaji.
Anyway pamoja na hayo ENL ametutoka! Tumuenzi kwa yale mazuri aliyolifanyia Taifa letu.
 
Tehetehe!
 


Nimeona video akiaga mwili nikasema siasa ni mbaya sana. Familia ya Lowassa wana waamini Chadema kuliko CCM
 
Mbona hotuba ya warioba Iko wazi!
Watu wavivu kusikiliza wanapenda kusimuliwa
 
Kila ubaya utalipwa asipolipa yeye kitalipa kizazi chake
 
Asingeweza kusema kwani hakwenda kabisa.
Kwa ubaya ule uso umeumbwa na aibu!
Lowasa alivumilia mengi sana, walimtukana, kumtusi,kumuhujumu na kumsingizia mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…