Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

Kama ni usaliti lowasa alifanyiwq na wqnaccm wote akiwamo nyerere huyu kikwete alimalizia tu
 
Kama ni usaliti lowasa alifanyiwq na wqnaccm wote akiwamo nyerere huyu kikwete alimalizia tu
Nyerere hakuwa msaliti kwa kuwa hakuwa amewekeana ahadi na Lowasa, JK aliwekeana ahadi na Lowasa, na akala hela zake, na baadae akamsingizia mambo ya Richmond.
 
Kuna watanzania wanapenda sana kulalamika, sasa jakaya kutoenda kumjulia hali ndio mumlaumu! Tusipende kulialia
 
We hujui, kama nyerere asinge kata jina la lowassa mwaka 1995, Lowassa angekua Rais wa awamu ya 3.
Achana na huyo, hajui lolote. Kama Nyerere asingekata jina 1995 angekuwa Rais na kama Kikwete asingekata jina 2015 angekuwa Rais
 
Mnafiq mkubwa huyu jakaya.
 
Na ndiyo maana ule ugonjwa wake wa kuanguka umemrudia kwa kasi siku hizi anaanguka kila wiki na yule mlinzi wake aliyekuwa mtaalamu wa kumdaka ameshatangulia mbele ya hadi,ipo siku ataanguka apigize kichwa kwenye tiles kipasuke au labda awe anavaa helmet muda wote.
 
Fuatilia mambo uache ubishi. Lowassa alikatwa jina na Nyerere Kama alivyokatwa jina na Kikwete. Jiulize kwanini, waliogopa Nini?. Hata walivyompa Uwaziri Mkuu wakamtengenezea ajali ya siasa
 
Halafu kuna LINAFIKI moja juzi, lizee hivi, eti linasema ukiacha Nyerere mwanasiasa aliyefuata kwa kuwa na ushawishi katika kipindi cha miaka 40 iliyopita ni Lowassa. Dah, yaani aibu niliona mimi aisee!
Hayo ni maoni yake. Halafu wengi Lowassa mmemjua juzi.
 
Huyu mzee anababaika sana, angekaa kimya ingekua busara, aache unafiki
 
Hakuna aliyenjus Mkapa pia.

Lowassa na kikwete walikuwa na umaarufu karibu sawa. Malecela alikuwa zaidi kwasababu alikuwa waziri mkuu.

Yeyote kati ya Lowassa na JK angeweza kushinda.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Angalia hili hater lilivyokuwa frustrated vibaya!! Kimsing8 kikwete mmeanza kumuombea kifo muda mrefu saaaana. Yupo ni kwa vile tu Mungu ndiye anayemsimamia na si binadamu WASHENZI NA MAJUHA KAMA NYIE. Halafu huyo Kikwete akiondoka frustrations zenu mtatolea wapi?!!!
 
Unateseka ukiwa wapi mamaeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…