Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kwani ina maana gadafi alitaka kuleta huku afrika arab,nazation na sio umoja wa afrika???
Fuatilia tofauti ya African union waliokuwa wanaigombania Nyerere na Nkuruma na huo umoja wa Afrika aliokuwa anaupambania ghadafi. Fuatilia misaada mingi aliyokuwa anatoa kwa nchi za kiafrika mingi ilikuwa inalenga kwenye nini?
 
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.

Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.

Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Kafa MTU mzuri ndo maana
 
Unampangia mtu cha kujieleza????huko ni kukosa kazi ya kufanya,sasa kama huyo uliyetaka aelezewe kwa kirefu hakuwa mtu wake wa karibu????
 
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
Magufuli ndiye Mkristo pekee aliyekagua Ujenzi wa Msikiti na kutoa ushauri zifungwe AC!
 
Angekuwa mwema asingekata vichwa vya binadamu wenziwe na kuvitia katika jokofu. Yule mama wa kiizrael( 90 minutes at Entebe Mary, Kichwa cha rpc wa west lake region " kagera Afande Pope 1971)
Unakumbuka aliwafurusha Waasia?
Nimekukumbusha kwa uchache sana.
Hizi habari ni zile za kwenye movie ya Idd Amin?
 
Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo nchini kwa sasa ni KIKWETE.

Huyu ndio shida kubwa na chanzo cha ufisadi na kushindikana kuwajibishwa mafisadi. Wizara zote CAG alizotaja kuhusika na ufisadi wa kutisha ni vijana wa Kikwete aliyeiteka CCM na mtandao wake wa uhalifu.
Na hapa ndipo wanausalama wanatakiwa kukusaidia.
 
Kama Iddi Amini alikua ni Mtu mwema,Nini chanzo cha Vita ya Kagera!!? Unataka kusema Nyerere ndiyo hakua Mtu mwema hadi akamvamia Amini na kumchapa!!?
Hii ishu ni ndefu sana Nyerere alitumika pasipokujua kuwa anatumika.

IDD akikuwa hawapendi ngozi nyeupe; ukianzia hapo unaweza kuelewa.
 
Tunasikia jpm aliongozwa Sala ya Toba ila huyo mzoga gang wa Jana hajaomba atakuwa anashugulikiwa kuzimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ilikuwa ghafla sana yaani kaumwa ghafla ile wanamkimbiza hospitali kufika mtu chali
 
Back
Top Bottom