Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Si alikuwa mwenezi wa Afrika mashariki wa ile dini ya Mungu mwenye mguu mmoja, jicho Moja na mikono miwili ya kulia, akidanganywa na jinga Moja lililokuwa linalipia wanaume mahari ?
Kanali Gadafi alimpoteza mjomba Amini mpaka akaacha uafrika na kuukumbatia uarabu
 
Si alikuwa mwenezi wa Afrika mashariki wa ile dini ya Mungu mwenye mguu mmoja, jicho Moja na mikono miwili ya kulia, akidanganywa na jinga Moja lililokuwa linalipia wanaume mahari ?
Ikiwa gadafi alikuwa mjinga kwa kulipia wanaume mahari kama usemavyo je wewe unakuwa nani? Salaam kwa wenzio wa Upinde
 
Ninyi wenye akili kibaba hakuna mnachojua zaidi ya kutukana.

Mtu unashindwa hata kuandika sentensi 2 kwa Kiswahili halafu bado unaona una uwezo hata wa kutoa hoja!! Bahati mbaya Elimu ya watu wazima imefutwa siku hizi, lakini unaweza kuwatafuta hata watoto wa darasa la pili, watakufundisha kuandika, kuhesabu na kusoma vizuri. Wapo watoto wa darasa la pili wengi wenye uwezo mzuri zaidi ya wa kwako katika kuandika, na huenda hata katika kufikiri.
Ndugu yangu uwezo wangu mkubwa najielewa
O level Tabora boys one 7
A-level mzumbe one 4
Bachelor degree civil engineering UDSM
Masters Highway udsm

Usijifananishe na mimi wewe tahira
 
Kwanza elewa hizi page zinaendeshwa na wasaidi wao, Pili ratiba ya mazishi imeshatoka, wazee wa Lindi wana jambo lao, tutegemee nini baada ya VAR ya wazee? Tukae kitako kwa kutulia.

Ujue nimewaza sana mwili ukabidhiwe kwa wazee?

Ok huko Bunda kibara nako tusipapuuze! [emoji16]

Nikikumbuka ule moshi uliomtokea Magufuli huko kusini break kaenda kushikia ikulu acha VAR iamue
 
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.

Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.

Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
bado yeye
 
Ye akachukue mzoga wake apeleke huukoo akautunze Bahari itaendelea kutulizwa Mungu yupo kazini
 
Kanali Gadafi alimpoteza mjomba Amini mpaka akaacha uafrika na kuukumbatia uarabu
Kule uarabuni kwenye Arab spring nako walimtimua, alikuwa anataka eti awatawale, ikaabidi aelekeze nguvu Afrika akazuga anataka umoja wa Afrika kumbe ya kidini. Aliwachanguwa maafisa masoko wengi Afrika wa hoja za oic na mahakama ya kafhi
 
Kwanza si mnamsiba nyie nendeni mkaomboleze fisadi lenzenu limekufa

Kwa hiyo JPM hakuwahi kufanya vitendo vyenye viashiria vya ufisadi?

Yeye hakuwa fisadi?

Mbona waliingilia Uhuru wa CAG na kumsakama mpaka kuondolewa kabla ?

Acheni kujichanganya wenyewe.
 
Huko hakuna ndoto, ni reality tu. Ndoto zinaishia hapahapa kwenye uhai.
Tunasikia jpm aliongozwa Sala ya Toba ila huyo mzoga gang wa Jana hajaomba atakuwa anashugulikiwa kuzimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msilolijua ni moja tu. Magufuli alikuwa anatumikia kusudi la Mungu.
Hivi Nikuulize kwa Bunge hili la Tanzania Kuna siku litafanya maamuzi ya kuliletea maendeleo Taifa?
Kuna siku litatengeneza sheria yenye maslahi ya wananchi bila wao kufikiri maslahi yao kwanza?

Msijidangane baada ya Magufuli na miradi yake kukamilika Hakuna atakayekuja na wazo jipya
Hayupo Sio CCM wa CHADEMA.

CCM wanawaza kuuana tu mtu akipita mbele ya maslahi yake.
Wewe mwenyewe umeona Membe ameondolewa mapema asije akamsumbua Mama kesho kutwa.

Mwenye ufahamu anaelewa
Hizi ni karata za awali zinachezwa
Kwahiyo vyuo vyote vimejengwa na Magu?

Hospitali zote zimejengwa na Magu?

Mashule yote yamejengwa na Magu?

Barabara na madaraja yote yamejengwa na Magu?

Mitambo na mabwawa yanayozalisha umeme hivi sasa yamejengwa na Magu?!

Unajua huwa napata mashaka sana na uelewa wa Wafuasi wa Magu!

Let's assume una elimu ya Chuo Kikuu!!

Now, ni infrastructure ipi iliyojengwa na JPM iliyowezesha wewe kuwa na elimu ya chuo ya kikuu, na kwamba, kama siyo hiyo infrastructure, huenda usingekuwa na hiyo elimu?

Nakuuliza kwa sababu kama unajaribu kutuaminisha pasipo na JPM hapawezi kufanyika kitu basi bila shaka hata wewe elimu yako YOTE imewezekana kutokana na misingi iliyojengwa na JPM!
 
Msilolijua ni moja tu. Magufuli alikuwa anatumikia kusudi la Mungu.
Hivi Nikuulize kwa Bunge hili la Tanzania Kuna siku litafanya maamuzi ya kuliletea maendeleo Taifa?
Kuna siku litatengeneza sheria yenye maslahi ya wananchi bila wao kufikiri maslahi yao kwanza?

Msijidangane baada ya Magufuli na miradi yake kukamilika Hakuna atakayekuja na wazo jipya
Hayupo Sio CCM wa CHADEMA.

CCM wanawaza kuuana tu mtu akipita mbele ya maslahi yake.
Wewe mwenyewe umeona Membe ameondolewa mapema asije akamsumbua Mama kesho kutwa.

Mwenye ufahamu anaelewa
Hizi ni karata za awali zinachezwa
Wewe ni mmoja wa wapumbavu wanaoligharimu taifa hili. Bunge la uchafu wa Magufuli hili unategemea nini hapo? Aliyeliharibu bunge ni huyo shetani wenu aliyepumzishwa na kirusi.
 
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
Tafsiri ya familia yako yule kenge hakumanisha ivo
 
Back
Top Bottom