Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Acheni fitina kwani lazima kumsema mtu siameamua Kuja kitofauti ila hali ni Ile Ile mbaya tu ya jpm ukikata kutongozwa down immediately without option na wote walikufa Kwa corona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nasema uongo jamani? --- in Magu's voiceHapa sasa unaleta uchokozi
Nyingi sana maana alikwangua na hela zake, aliuza yale majumba akabakiza moja tu! Mzee wa Nsoga alipumua JPM alipokufaKikwete alipitia changamoto zipi za kimaisha na Magufuli?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Kisa lilikua liislamu lenzako?Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Ila Mufti sijui kwa nini alikua hamshauri mshkaji wake, au nae alikua anaogopaKwani nasema uongo jamani? --- in Magu's voice
Mufti ni kati ya watu wachache waliopata nafasi ya kwenda kuongea nae hospital akiwa mgonjwa siku za mwisho wa uhai wake.
Habari ya msikiti wa Kinondoni unaijua bila shaka.
Yule jamaa alikuwa anaogopwa hadi na rafiki zake.Ila Mufti sijui kwa nini alikua hamshauri mshkaji wake, au nae alikua anaogopa
Kwa vile alikuwa muislamIddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Alikuwa mwema alikufanyia nini wewe?Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Nakumbuka, alipokuwa uhamishoni, alidai Waganda walikuwa wanampenda sana, tena kuliko Museveni. Akasema, yeye alikuwa anaweza kusafiri mkoa mmoja mpaka mwingine kwa gari, tena akiendesha yeye mwenyewe, bila hofu. Museveni hawezi! Ukatili uliokuwa ukihusishwa naye, alidai ilikuwa ni propoganda za Tanzania, zilizoasisiwa na Mwalimu Nyerere.Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Labda ungesema hata shetani anamarafiki, kuhusu Idd Amin hatujui sana ubaya wake maana kwa miaka hii shutuma zake zinautata sana wapo wanaomtetea na wapo wanaomuona ni mtu mbaya.Hata Idd Amin Dada alikuwa na marafiki itakuwa JPM kwa lipi akose rafiki?
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.jon
NonsenseKatika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Sasa ulitaka aandike kuwa yeye na JPM walipitia misukosuko mbalimbali lakini wakapeana moyo, wakati siyo kweli?Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Wasiwaseme viongozi wetu wa kiislamu sisi waislamu ni watakatifu hatunaga makosaKikwete alipitia changamoto zipi za kimaisha na Magufuli?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Mleta mada, nadhani kuna mahali kumeyumba. Tuzidi kumwomba Mungu JF ijae zaidi wenye hekima.Kipi kirefu alichoelezea Kikwete hapo? Mbona naona nukuu ya sentensi moja tu? Au una lako jambo moyoni?
Hakumpenda MaguKatika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Kisa ni mkristu ndio hawezi kuwa na marafikiHivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
Membe ni ndugu yake,huyo Magufuli ni ndugu yako wewe ndio muelezee kirefu.Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.