Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Acha kuingilia maisha ya watu, jifunze kutofautisha mtu binafsi na cheo. Kikwete na Membe huenda walijuana tangu utotoni, huyu mtu wako wamekutana uzeeni sasa unataka adimulie kuwa yeye Kikwete na Magufuli waliwinda njiwa pori pamoja! Haiwezekani.Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Ninakushauri tiatia maji haraka ili nawe uje ielezewe kwa kirefu, japo utata utatokea kama wewe ni Mkurya kweli au Mjaluo. Acha kutamani vya wenzako.