Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Urafiki haulazimishwi Membe amekuwa bestfriend wa Kikwete toka 1990's.

Magufuli hakuwa rafiki yake Kikwete alikuwa mwanasiasa mwenzake tu
Kabla ya hiyo 1990's jamaa walikuwa marafiki tayari.
 
Msilolijua ni moja tu. Magufuli alikuwa anatumikia kusudi la Mungu.
Hivi Nikuulize kwa Bunge hili la Tanzania Kuna siku litafanya maamuzi ya kuliletea maendeleo Taifa?
Kuna siku litatengeneza sheria yenye maslahi ya wananchi bila wao kufikiri maslahi yao kwanza?

Msijidangane baada ya Magufuli na miradi yake kukamilika Hakuna atakayekuja na wazo jipya
Hayupo Sio CCM wa CHADEMA.

CCM wanawaza kuuana tu mtu akipita mbele ya maslahi yake.
Wewe mwenyewe umeona Membe ameondolewa mapema asije akamsumbua Mama kesho kutwa.

Mwenye ufahamu anaelewa
Hizi ni karata za awali zinachezwa
 
ooooh "Kifo hakina mwenye"!??

Nilikua sijui hili, nilifikiri "Watu wazuri hawafi".
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
 
Msilolijua ni moja tu. Magufuli alikuwa anatumikia kusudi la Mungu.
Hivi Nikuulize kwa Bunge hili la Tanzania Kuna siku litafanya maamuzi ya kuliletea maendeleo Taifa?
Kuna siku litatengeneza sheria yenye maslahi ya wananchi bila wao kufikiri maslahi yao kwanza?

Msijidangane baada ya Magufuli na miradi yake kukamilika Hakuna atakayekuja na wazo jipya
Hayupo Sio CCM wa CHADEMA.

CCM wanawaza kuuana tu mtu akipita mbele ya maslahi yake.
Wewe mwenyewe umeona Membe ameondolewa mapema asije akamsumbua Mama kesho kutwa.

Mwenye ufahamu anaelewa
Hizi ni karata za awali zinachezwa
Magufuli alikuwa anatimiza ilani ya Ccm, soma kwanza ilani inasema nini ndio uje kukakita mauno hapa.

Mgombea Urais anapoomba kura anashika ilani na kuahidi kutekeleza mazuri yaliyopo ndani ya ilani, na katika waandishi wa ilani ya Ccm yupo pia Mzee Wasira, msingoje afe ndio muelezwe msiyoyajuwa.
 
Hiyo kauli lengo lilikuwa kukejeli mkuu usimtetee Makamba, angalia mtiririko wa hotuba
Mimi sipo hapa kumtetea yeyote sijawahi kufanya ujinga huo, Makamba ni upuuzi tu kama wapuuzi wengine, ila kumbuka Makamba ni msomi mzuri wa Biblia na anaijuwa vizuri na hayo yamo ndani ya Biblia.

Na wewe kama unaamini Magufuli alikuwa mzuri basi hawezi kufa ataendelea kuishi.
 
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
Sasa ilikuwaje Rais Samia na mwenyekiti wa CCM taifa, alikiri statement ya Makamba Snr haikuwa sahihi? angeishia kwenye statement ya kuwa watu wazuri hawafi, ingemaanisha ulichokisema. Lakini alienda mbele na kusema "ndio maana JK yuko hapa anadunda na kuwataja watu kadhaa walio hai"

Nilifikiri wewe upo vizuri upstairs, kumbe na wewe ni hamna kitu. statement rahisi hivi unashindwa kui analyze, ama unafikiri mimi ni mmoja wa maboya unaobishana nao huku kila uchwao?
 
Mimi zipo hapa kumtetea yeyote sijawahi kufanya ujinga huo, Makamba ni upuuzi tu kama wapuuzi wengine, ila kumbuka Makamba ni msomi mzuri wa Biblia anajuwa vizuri na yamo ndani ya Biblia.

Na wewe kama unaamini Magufuli alikuwa mzuri basi hawezi kufa ataendelea kuishi.
Acha porojo, mimi sio team Magufuli, kilichonisikitisha ni huyo mzee Makamba kukosa haya, kujikomba kwa Samia kuwa wazuri hawafi akimaanisha Magufuli kafa kwasababu alikuwa ni mbaya.

Huo ni unafiki kujikomba kwa mkuu mpya kwa ajili ya asali ya mwanae
 
Back
Top Bottom