Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Huwaga najiuliza kwanini Hawa watu wameamua kuficha huu undugu kiasi hichi?

Ukweli ni kwanba JK na BM ni mtu na mdogo wake, wanashea mama.
Wengine wanasema JK na BM wame share Baba Mama tofauti,sema BM yeye alikua anatumia ubini wa Mama yake!!
 
Ebu tutolee usukuma gang wenu kule
 
Tangu lini mtu mwenye roho mbaya akawa na rafiki muungwana?
 
 
Kifo cha membe hakimfukui magufuli...

At least membe ameshuhudia kifo cha magufuli
 
Huna haki yoyote ile kumchagulia mtu nini akiamini
Kweli kabisa. Hujakosea,

Haki yangu ni kukutanabahisha kuwa kupo kizani, ukikaidi kufata njia ya kukutowa kizani na kukuweka kwenye nuru ni haki yako pia.
 
Faiza Mfia dini mtumwa wa dini be moderate and liberal itakusaidia sana upumbavu wa kumtetea Idd Amini au Mhamiaji haramu. Usikumbushe vidonda vya uvamizi uliojengwa na fitina za uislamu kwa watanzania.
 
Natumai umeona majibu ya hii hoja yako
 
Lile lilikuwa haini na hizi kuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…