Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Umenena vyema kabisa
Kwanza magufuli na kikwete wapi na wapi ,aliyetakiwa kumwelezea vizuri magufuli pengine alikuwa Mzee mkapa sio kikwete

BM na kikwete ,Toka utotoni mwao na ujanani mwao serikalini mpaka siasa walikuwa pamoja ,chato na watoto wa mjini wapi na wapi
 
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
Acha kupindisha kauli ya mxee wa Lushoto bana, yeye alikuwa na maana nyingine na unvyopindisha wewe na ndio maana akawataja wazuri hadharani, usitake kutufanya vichwa vya panzi.
 
Acha kupindisha kauli ya mxee wa Lushoto bana, yeye alikuwa na maana nyingine na unvyopindisha wewe na ndio maana akawataja wazuri hadharani, usitake kutufanya vichwa vya panzi.
Fayza Fox ni mbaguzi wa kidini sana
 
Mpumbavu nao ni kipaji! Ushetani wa yule muhutu nani anautaka tena!
Naona shetani Anatukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona unapovu au Kuna mbwa wako kafariki ivi karibuni[emoji1787][emoji1787]
 
Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Labda mwema nyumbani kwake na familia yake lakini kwa wananchi alikuwa shetani kabisa wewe fikiria mtu mwenye akili timamu anafanya operation ya kukamata vilema wote na kwenda kuwatupia kwenye mto,huyo ni mtu?Msipende kutetea vitu vya kijinga.
 
Huko ndiko ukisikia kusomea ujinga.

Umejazwa ujinga na umekujaa.
 
Mungu umpokee Mzee wetu Membe mikononi mwako maana kazi aliyomtuma duniani ameimaliza salama.Na kama ulivyosema kuwa,"Siku za mwanadamu ni chache na ataishi miaka sabini,Mheshimiwa Membe amekufa katika umri huo ambao wengine hatutafikia.Tunaomba ukumbuke matendo yake mema aliyoyatenda na kama kuna mahali aliteleza kama mwanadamu basi Eee Baba mwenye rehema nyingi umsamehe na kumweka mahali salama mtumishi wako Benard Membe.
Mlishangilia kifo cha jpm, haya mzoga wenu huo hapo😂😂
 
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.

Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.

Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
ACHA CHUKI, ROHO MBAYA, NA AKILI MBOVU; Mh. Kikwete alitoa hotuba ndefu sana wakati wa mazishi ya JPM mpaka watu wakamwambia anataka kukufuru
 
ACHA CHUKI, ROHO MBAYA, NA AKILI MBOVU; Mh. Kikwete alitoa hotuba ndefu sana wakati wa mazishi ya JPM mpaka watu wakamwambia anataka kukufuru
Hilo ni vuvuzela la sukuma gang hivyo chuki kwake haziwezi kuisha
 
Back
Top Bottom