Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Hivi nyie wafuasi na chawa wa Magufuli mnaamini adui wa Jiwe alikuwa Membe , kwanini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Thubutu, cheza na Kikwete wewe.

Uliiona ccm ina uhai wakati wa Mwendazake? Au tuliiona demokrasia ikiminywa?

Usililojuwa ni usiku wa kiza.
Kila mtu anacheza kwa step zake, kuna wa bara kakuklia ugali wa mtama na kuna wa pwani kazoea biriani.....
 
Kwanza elewa hizi page zinaendeshwa na wasaidi wao, Pili ratiba ya mazishi imeshatoka, wazee wa Lindi wana jambo lao, tutegemee nini baada ya VAR ya wazee? Tukae kitako kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…