Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kila mmoja anapokea kifo cha mtu kwa utofauti
Kuna watu wanalia sana kwenye kifo cha rafiki kuliko ndugu na vice-versa
 
Kwani Musiba kaoa mtoto wa Kikwete?
Ndiye aliyemtolea mahari na kugharamia harusi yake, kwa kifupi na ukweli ni kwamba Kikwete ndio amemuozesha Musiba, hili halipingiki kwa mtu mwenye akili timamu.
 
Fuatilia tofauti ya African union waliokuwa wanaigombania Nyerere na Nkuruma na huo umoja wa Afrika aliokuwa anaupambania ghadafi. Fuatilia misaada mingi aliyokuwa anatoa kwa nchi za kiafrika mingi ilikuwa inalenga kwenye nini?
Misaada mingi Gaddafi alikua anajenga misikiti tu
 
Back
Top Bottom