Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
😁Genta pumzisha fuvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁Genta pumzisha fuvu
Hainiingii akilini kuwa hata malikia wa mchwa kwenye kichuguu anaweza kuguswa na kupotea kwa mchwa wake mmoja.Kikwete ameumia mwenzake kufa.
Unajipongeza kwa ID zako tofauti!Hujajifunza kitu?
Kawaulize Polepole ,Bashiru, Ndugai na Makonda.Hivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
Musiba angekuwa mtu mbaya JK asingemuozesha mke!
Belinda jacob una mdomo mzuri kwenye iyo avatar. Nikipata fursa naweza kukunyonya violently hadi nikaushe kinywa chako.Atajijua, kuna walioguswa.
Watu tupo tofauti Aloooo.
Punguza uchawa wemtu wewe.Hivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
Hao wazee walishindwa kutrack kile kirusi kabla hakijamdondosha kachero?Kwanza elewa hizi page zinaendeshwa na wasaidi wao, Pili ratiba ya mazishi imeshatoka, wazee wa Lindi wana jambo lao, tutegemee nini baada ya VAR ya wazee? Tukae kitako kwa kutulia.
Kwani Musiba kaoa mtoto wa Kikwete?Musiba angekuwa mtu mbaya JK asingemuozesha mke!
Eti maana ya "Fataan" ni nini?Hivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
Inaonekana hata wewe unahusikaHao wazee walishindwa kutrack kile kirusi kabla hakijamdondosha kachero?
Sababu alikuwa Hali kitimoto Kama wewe?Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Alimlipia mahaliKwani Musiba kaoa mtoto wa Kikwete?
Ndiye aliyemtolea mahari na kugharamia harusi yake, kwa kifupi na ukweli ni kwamba Kikwete ndio amemuozesha Musiba, hili halipingiki kwa mtu mwenye akili timamu.Kwani Musiba kaoa mtoto wa Kikwete?
Misaada mingi Gaddafi alikua anajenga misikiti tuFuatilia tofauti ya African union waliokuwa wanaigombania Nyerere na Nkuruma na huo umoja wa Afrika aliokuwa anaupambania ghadafi. Fuatilia misaada mingi aliyokuwa anatoa kwa nchi za kiafrika mingi ilikuwa inalenga kwenye nini?
Alimlipia mahariKwani Musiba kaoa mtoto wa Kikwete?
Wema hawafi my wifeInaonekana hata wewe unahusika
Yusuf Makamba ataijutia sana kauli yake ya KUFURU!Lakini hii kauli itawatafuna watu miaka nenda rudi