Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Una uhakika urais wa JPM ulihidhinishwa na JK?
Unafikiri Mwenyekiti wa CCM wakati ule na rais angeamua kumwondoa JPM kwenye mchakato isingewezekana kwa katiba mbovu tuliyonayo na madhaifu mengine mengi tu? Mbona Nyerere alimuidhinisha Mwinyi kirahisi tu, si fikra za mwenyekiti?
 
Thubutu!

Mkapa alikuwa pale
 
Huo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.

Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.

Lugha zina utamu wake.
🚮🚮
 
Magufuli alikuwa anatimiza ilani ya Ccm, soma kwanza ilani inasema nini ndio uje kukakita mauno hapa.

Mgombea Urais anapoomba kura anashika ilani na kuahidi kutekeleza mazuri yaliyopo ndani ya ilani, na katika waandishi wa ilani ya Ccm yupo pia Mzee Wasira, msingoje afe ndio muelezwe msiyoyajuwa.
Ilani ya CCM ilikuwa inasemaje kuhusu wapinzani kama Lissu, Mbowe na vyama vyao?
 
Udini unakutesa sana, umekula akili yako yote.
Ikiwa kwa "udini" unamaanisha Uislam, elewa kuwa Uislam ni mwema sana.

UsomenUuslamuulewe ni nini, ukiuelewa utajuta kwanini umechelewa kuwa Muislam.

It's never too late in Islam.
 
Back
Top Bottom