Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

Sasa mbona Jiwe alivyoanza kumfilisi ukikaa kimya mzee wetu hadi kijana wako akakimbia nchi kuokoa maisha yake.
Kwa situation ile angefanya nini? Pengine hakukaa kimya husikute kuna hatua zilichukuliwa pia dhidi ya jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…