Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

Ifike wakati tuzungumze ukweli, hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja, bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini, kikabila na kiitikadi.

Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa kitu ambacho wengi hawakijui, kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.

Asanteni sana.
 
1691601327086.png


1691601566499.png
 
Hii ni Taarifa kutoka Global online, Kwamba Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana, wametuma kusudio la kumshitaki Saed Kubenea Mahakamani, kwa kile kinachodaiwa ni kuchapisha habari inayohusu Mkataba wa Bandari kwenye Gazeti la MwanaHalisi kwa lengo la kuwachafua.

Screenshot_2023-08-09-21-44-03-1.jpg

---

1691607969882.png

Ngoja tuone hili jambo litakapoishia
 
Who cares? Haiongezi wala kupunguza portion yangu ya ugali.
 
Back
Top Bottom