Hiki kigazeti Cha huyu mpuuzi sijui Kwa nini kinaandikaga habari za kuchafua watu.
πππ One day before Naniliu!Safi sana, iwe fundisho kwa wengine.
Majabali ya kuchuuza rasilimali. Hakiyanani ni zamu ya majamhili. TwafwaaaaHaya ndiyo majangili ya nchi
Musiba ameshalipa mabilioni ya membe?πππ One day before Naniliu!
Una akili sanaKwanini ombi la kwanza isiwe kumtaka Kubenea athibitishe madai yake,halafu kama hana ushahidi ndio aombe radhi?kwanini wakimbilie kuombwa radhi tu?
Kubenea amewachafuaje hao wazee ?