Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

Hapana, tuachane na sifa hiyo ya "unyonge".

Hii ni nchi yetu, hatuwezi kuwa tunachezewa na watu wapuuzi wa namna hii eti sisi ni wanyonge.

Hawa ni watu wa kuwatia adabu.
Kweli kabisa shikamoo mdau
 
Yeye ndo aamue either kuomba radhi au kuthibitisha madai yake
Kwa viongozi wakubwa kwenye jamii kama hao huwezi kukimbilia haraka kuombwa radhi sababu sababu inaweza kutafsiriwa kama umemtisha aliyeandika hivyo ili kuweka uwazi na kuaminika unamtaka aliyekutuhumu athibitishe au akishindwa aombe radhi,sasa hapo hata akiomba radhi watu watajua kweli uliandika uongo,ila hapa hata akiomba radhi itaonekana kama kashinikizwa.
 
Huyu Kubebea Huwa hajifunzi tuu? Hiki kigazeti si kilifungiwa had mwaka Bado?
 
Hawa wastaafu tulikuwa tunawasubiri Sana waingie kwenye 18. Acha tukutane mahakamani watakutana na akina Lissu, Kibatala, Mwabukusi na wengineo
Lissu ni TIMU kikwete chama cha chadema ni cha kikwete so hakuna kitu hapo huyo ni mnafiki magufuli akajua ndio akafanya kile kitendo
 
KIKWETE NA KINANA KUMSHTAKI SAED KUBENEA NA GAZETI LA MWANAHALISI KAMA WASIPO OMBA RADHI.

Hii ni baada ya Gazeti linalohahaririwa na kubenea kuwatuhumu Kikwete na Kinana Kuwa ndio wanaokwamisha Mkataba wa Bandari kati ya DUBAI na TANZANIA.

Regards.
 

Attachments

Ebu ngoja kwanza nimalize kunywa uji alafu nije nikomenti...
 
Huyu Kubenea aliponea chupuchupu macho yake kupofuka kabisa kwa kumwagiwa tindikal katika awamu ya nne.

Sasa kwa uchokozi huu mwingine kwa watu wale wale, Kubenea anaweza kupumzishwa kabisa.
Kuwadi yupo kazini achawafu wazikane wao kwa wao!
Kubenea ni 'musiba' wa awabu ya 6!
 
Sakata limefika patamu sana,

Niliwahi Sema, ukiweka chakula kingi kwenye sahani moja, usitegemee mapaka Yale chakula bila kuparuana.

Hatimaye HAKI itaibuka mshindi.

Tusubiri!!!
 
Na ndio maana wamemwambia awaombe radhi kwa kusema uongo. Kama hatafanya hivyo, maana yake ana ushahidi na akipelekwa mahakamani atautoa. Ni kama alivyofanya Balozi Membe kwa Mzee wa Majita!
Unaamini hao wazee wanaweza kwenda court?

Umesahau ya maembe?
 
Wanaochafuliwa Wana MAVAZI MEUPE au KANIKI?
 
Director Hasa wa movie ya wa DP World ni nani???!!!
 
Wale mnaojificha nyuma ya ID feki kutukana, msifikiri mkitakikana mtashindwa kupatikana.

Msiseme hamkuambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…