Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana. Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana. Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini. Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Mkuu kama upo kitengo jipimie tu, poza maumivu kwa mtindo huoYaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana. Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana. Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini. Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Kwani ukawa ndo wamezuia katiba mpya?Wa kulaumiwa ni UKAWA!
Ndio walimuweka madarakaniWa kulaumiwa ni UKAWA!
Deep state walizuia mchakato wa katiba mpyaYaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Chama cha Mazezeta, chanzo cha matatizo walitupa kwa nguvu, jeshi ni lao, na mamlaka, na utukufu na uweza, tungefanyeje?Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
bilioni ngapi?,mchakato ulivurugwa na ukawa,,,hats mchakato ujao cdm watavurugaYaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Usimzushie mstaafu uongo.Na huyu ndiye mentor wa Rais aliye madarakani hivyo atajitahidi kurudia ufisadi alioufanya wakati wa utawala wake vis a vis Katiba Mpya!!!
Ni pole yetu sote mkuu.Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Kwa faida ya nani ?Deep state walizuia mchakato wa katiba mpya