econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wa kulaumiwa ni UKAWA!
Hapana rasimu ilishapitishwa shida ni serikali imeshindwa kumalizia mchakato uliobakia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kulaumiwa ni UKAWA!
bilioni ngapi?,mchakato ulivurugwa na ukawa,,,hats mchakato ujao cdm watavuruga
Achemi kumzushia mzee wa watu
Mchakato mmevuruga wenyewe kubishaba serikali tatu au mbili kisha lawama mnampa mzee wa watu
Si kweli, ukawa hawakujua watakalo
Sio kweli ! Wao wangeweza kuzuia kabla haujaanza huo mchakato !!Deep state walizuia mchakato wa katiba mpya
Karma is a bitch !!Hiyo inakuonyesha kwamba kiongozi wa namna hiyo hakuwa na uchungu na maslahi ya nchi hii. Hata huo mchakato alioruhusu ufanyike haukuwa moyoni mwake kabisa; kwamba anatafuta njia ya kuinufaisha Tanzania.
Linganisha hali hiyo na ile ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, hata baada ya kung'atuka.
Hawa wenzetu, uongozi ni kutafuta sifa na kujinufaisha, ndivyo vipaumbele vyao; ndio msukumo wa kusaka uongozi.
Kikwete binafsi ni moja kati ya matatizo makubwa katika nchi hii...Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Mimi namlaumu kikwete kwa kumleta Jiwe
Alisema kuwa, ile pesa ya ESCROW iliyopigwa na Rugemalila na Seth Harbinder, haikuwa pesa ya umma.Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Kwanini aliruhusu wakati hayo yaliishafanyika? Au unadhani alikuja kumbuka baadae kuwa kuna Home shopping! Acha dharau.Kikwete ilibidi ahujumu ule mchakato kwani kama ile katiba ingefanikiwa asingepona kuwajibika kwa ufisadi aliofanya kuanzia kuuza wanyama pori mpaka ushirika wake na HOME SHOPPING CENTRE Kuingiza makontena bila kulipa Ushuru na wao kunufaika pamoja!! Ndio maana kupoteza ushahidi HOME SHOPPING CENTRE ikabid kubadili jina kuwa GSM kabla ya Kikwete kuondoka madarakani!!
Hiyo ndiyo sababu kubwa ya yeye kuhujumu Katiba Mpya , na isingekuwa hivyo yaliyompata Rafiki yake ZUMA kule South Africa na akina Gupta , yangempata yeye na wakina HOME SHOPPING CENTRE kwasababu kile walichofanya Ilikuwa STATE CAPTURE!!
Hivi Salma na Riz1 Dodoma huwa wanaishi Hotel? Oooh sorry Riz 1 ni Waziri kweli atakuwa anaishi kwenye makazi yasiyo salama ya Tundu Lissu( area D)Kikwete ni adui wa wananchi wanaojitambua!!!
Na huyu ndiye mentor wa Rais aliye madarakani hivyo atajitahidi kurudia ufisadi alioufanya wakati wa utawala wake vis a vis Katiba Mpya!!!
Mchakato ulikosewa kwa kujazwa wanasiasa.
MAHAFIDHINA ndani ya CCM ndio waliovuruga mchakato na ndio hao hao mpaka leo Wanapinga KATIBA MPYAWa kulaumiwa ni UKAWA!
Hii nchi wewe piga pesa kaa pembeni maisha yaendeYaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Wamesahau kuwa CUF,CHADEMA nk ndio walikuwa vinara wa kuharibu upatikanaji katiba! Wakagomea rasimu iliyorekebishwa ya katiba. Wakataka katiba ya Warioba ambayo ilikuwa na maslahi ya vyama vyao badala ya ustawi na Umoja wa nchi.bilioni ngapi?,mchakato ulivurugwa na ukawa,,,hats mchakato ujao cdm watavuruga