Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.

Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.

Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.

Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.

Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.

Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.
Ikipatikana katiba mpya tofauti na iliyopo, nipe faida 10 angalau za hiyo katiba tofauti na iliyopo.
 
Moja ya mambo ambayo simweli msoga king hadi leo hili ni moja wapo.

Sina kinyogo huyu yaani mi namkubali tu kiana ila nimejizuia kumfikiria sana maana nitamuona mchimbachuvi

Ila sio kama yule jamaa stone the madness
 
Najua mnasubiri afe ili mje na mapambio kibao ya kumsifu, hakuna rais alietupa maisha yenye unafuu kama Kikwete, Ebu angalia mfumuko wa bei uliopo saizi tangu enzi za mwenda zake mpk hapa kwa Mama Samia, Enzi za JK ata mawaka walikula bata na kamisheni za kufa mtu lkn kaja yule Jamaa wa Chato kavuluga kila kitu lkn bado mnampa mzee wa watu lawama kila siku. Khs mchakato wa katiba mzee hana kosa maana aliefuata mbele yake ndie alietakiwa kuendeleza ule mchakato lkn baada ya kuingia madarakani akaona nchi tamu akauweka mchakato prmbeni sasa hapo mlitaja JK afanyeje?

Ebu watanzania tuache lawama zisizo ba kichwa wala miguu ili tuweze kuijenga chi yetu kwa umoja na mshikamano.
Hakuna rais wa hovyo aliyepata kuwepo kama kikwete. Ni kama hakuwahi enda shule kabisa....nchi hii ndiyo kipindi ambacho iliibwa sana pesa....sana mijizi ilijiimalisha. Sasa maisha mazuri na sisi wengine tunakula keki ya taifa...
 
Mad King (mr stone tangawizi) na msoga king kila mtu ana blunders zake.

Ila MAD KING alikuwa ni shida
 
Jiheshimu mkuu, usipende kuonekana mjinga. Humu janmvini kila mmoja anajua wew ni mpumbavu, samahani kwa hili. Hata kama unalipwa basi tumia akili kama wenzio.
Mimi nmekupa ushauri tu mkuu,

Kwamba kwa vile yule jiwe alikuwa anakubutua vizuri, basi usiwe na stress za kumtaja kwa hasira hata kwenye mijadala isiyomhusu!

Sisi tupo wasaidizi wake tutabutua vizuri tu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Sawa, nimekushauri tu uwe kama wenzio hata kama unalipwa. Ila siyo lazima kufata ushauri wangu.
 
Hakuna rais wa hovyo aliyepata kuwepo kama kikwete. Ni kama hakuwahi enda shule kabisa....nchi hii ndiyo kipindi ambacho iliibwa sana pesa....sana mijizi ilijiimalisha. Sasa maisha mazuri na sisi wengine tunakula keki ya taifa...
1.5Trillions
 
Back
Top Bottom