Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Ikipatikana katiba mpya tofauti na iliyopo, nipe faida 10 angalau za hiyo katiba tofauti na iliyopo.Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo wameshasahau kabisa ufisadi huo mkubwa wa Kikwete. Wamesahau kabisa.
Huwa nikikumbuka naumia sana akilini. Kwa nini awatendee hivi watanzania hawa maskini.
Leo kuna watu wengine tena wanaenda kulipwa kwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.... Wanalipa pesa hizi hizi za watanzania maskini.